chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
x ni -2, y ni 2We chinchila kokotoa haka kaswali:
X^2+y^2=16.....i
x-y=-4........ii
X pia inaweza kuwa 0, na y itakuwa ni 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
x ni -2, y ni 2We chinchila kokotoa haka kaswali:
X^2+y^2=16.....i
x-y=-4........ii
Kakupa swali la kitoto kabisax ni -2, y ni 2
X pia inaweza kuwa 0, na y itakuwa ni 4
Elimu yako tafadhali maana hapo ni za kwanza hizo hazina tofauti na hesabu za dukani kurudisha namimi kweli ni kilaza kwenye hesabu yani japo nambiwa nila darasa la saba bado naona chenga chenga tu
aah8ana,mbona unaniangusha.mkuu kama vile tulimaliza mwaka mmoja hahahahhaha, hali ikishakuwa ngumu hivi unaomba mungu kama mwalimu wako atapita angalau aweke kidole mahali, hapohapo unaweka kama jibu! wale jamaa askari polisi walikuwa wanakomaa ile mbaya hakuna mtu kuzengea eneo mnalofanyia paper
Mkuu samahani Kama utakuwa female naomba niwe mwanafunzi wako kwa kweli sijawahi fundishwa hesabu na madam nasikia wanaeleweka Sana yamkini namimi ningekuwa kipanga wa hesabu ntafurahi Kama ombi langu litakubaliwaNdo mana binafsi nipo neutral kuhusu hili ila it seems upo vizuri mathematics hesabu nazipenda sana nilipokuwa olevel ili nimeamini nimefaulu Masomo mengine lazima hesabu nibutue hadi leo nataka nijitolee kufunsisha bila malipo few topics kwa olevel na advance.
Ndani ya moyo kwangu kuna traits za ualimu but kilichonifanya niende fani nyingine ni mazingira magumu ya kufundishia but nitajitolea kufundisha few topics
aah8ana,mbona unaniangusha.mkuu kama vile tulimaliza mwaka mmoja hahahahhaha, hali ikishakuwa ngumu hivi unaomba mungu kama mwalimu wako atapita angalau aweke kidole mahali, hapohapo unaweka kama jibu! wale jamaa askari polisi walikuwa wanakomaa ile mbaya hakuna mtu kuzengea eneo mnalofanyia paper
Umetumia law ya ngapi ya exponent maana najaribu hata jibu sipati Kama lakox ni -2, y ni 2
X pia inaweza kuwa 0, na y itakuwa ni 4
Don't take it seriouslyHapo unafanya x ndio muda gari litakaotumia kukutana
gari litakuwa limesafiri kilomta 220x
ndege itauwa imesafisafiri kilomita 350(x+1), hiyo ni 1 sababu ya ndege iliwahi saa moja kabla ya gari
Kupata x ambayo ndio muda unatakiwa uzi equate hizo mbili, kwa kuwa jumla ya km ni 900, kilomita ilizosafiri gari lilipokutana na ndege itakuwa ni sawa na 900 utoe km ilizosafiri ndege
220x= 900-350(x+1)
Ukikokotoa utapata x ni 30/19 ya saa
ukitaka kuhakiki unatafuta kilomita ilizosafiri ndege baada ya 30/19 ya lisaa kisha unatafuta na km ilizosafiri gari baada ya 30/19 ya saa, hizo km za gari na ndege ukizijumlisha lazima zilete jibu la 900 kwa kuwa km zote zilikuwa covered.
Darasa la saba kulikuwa hakuna maswali magumu kama hayo, huo ni ukilaza wako unashindwa kutofautisha hata maswali ya la saba na sekondari
i do maths for funDon't take it seriously
Hapa JF chit chat usikute mleta mada alikuwa hashuki 45/50 kwa kila pepa sema ili kufurahisha genge ndio kaandika hivyo
i do maths for fun
Most of these people ni wale competent persons, ndio maana anatambua kirahisi nin kilikuwa rahisi na nini kilikuwa kigumu, so very true sometymes is just a matter of jokes!Don't take it seriously
Hapa JF chit chat usikute mleta mada alikuwa hashuki 45/50 kwa kila pepa sema ili kufurahisha genge ndio kaandika hivyo
Mpaka hapo sijakuelewa. Ndiyo maana nikiona namba kichwa kinaumaHapo unafanya x ndio muda gari litakaotumia kukutana
gari litakuwa limesafiri kilomta 220x
ndege itauwa imesafisafiri kilomita 350(x+1), hiyo ni 1 sababu ya ndege iliwahi saa moja kabla ya gari
Kupata x ambayo ndio muda unatakiwa uzi equate hizo mbili, kwa kuwa jumla ya km ni 900, kilomita ilizosafiri gari lilipokutana na ndege itakuwa ni sawa na 900 utoe km ilizosafiri ndege
220x= 900-350(x+1)
Ukikokotoa utapata x ni 30/19 ya saa
ukitaka kuhakiki unatafuta kilomita ilizosafiri ndege baada ya 30/19 ya lisaa kisha unatafuta na km ilizosafiri gari baada ya 30/19 ya saa, hizo km za gari na ndege ukizijumlisha lazima zilete jibu la 900 kwa kuwa km zote zilikuwa covered.
Darasa la saba kulikuwa hakuna maswali magumu kama hayo, huo ni ukilaza wako unashindwa kutofautisha hata maswali ya la saba na sekondari
hahaaKuna dada nilikutana naye UDSM - CRDB Bank kavaa T-Shirt imeandikwa "Am too cute to do Math".
Na ukiona mtu anajisifia sana ujue ndio wale walikuwa VilaaazaMost of these people ni wale competent persons, ndio maana anatambua kirahisi nin kilikuwa rahisi na nini kilikuwa kigumu, so very true sometymes is just a matter of jokes!
Hahaha...!!Umekosea kdogo. Mtiti ulikua unaanzia swali la 31. Babu unatamani waseme ishieni hapohapo ulipofikia
Mmmh! Haya. Ndege angani na gari aridhini vikutane labda kama ndege inaruka chini chini kufuata uelekeo wa barabara!!!!!Hapo unafanya x ndio muda gari litakaotumia kukutana