shamajengo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,217
- 1,432
Da aisee ntamcheki kwanza maana kwakweli mwalimu wa kike hata GS watu walikuwa wanajaa darasani sijui ndo uchizi wa boysMkuu mi mkaka haaaaa
Mwite chilalila akupige msasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da aisee ntamcheki kwanza maana kwakweli mwalimu wa kike hata GS watu walikuwa wanajaa darasani sijui ndo uchizi wa boysMkuu mi mkaka haaaaa
Mwite chilalila akupige msasa
Sekondari gani walikua wanatoa maswali ya hesabu kiswahili?Hapo unafanya x ndio muda gari litakaotumia kukutana
gari litakuwa limesafiri kilomta 220x
ndege itauwa imesafisafiri kilomita 350(x+1), hiyo ni 1 sababu ya ndege iliwahi saa moja kabla ya gari
Kupata x ambayo ndio muda unatakiwa uzi equate hizo mbili, kwa kuwa jumla ya km ni 900, kilomita ilizosafiri gari lilipokutana na ndege itakuwa ni sawa na 900 utoe km ilizosafiri ndege
220x= 900-350(x+1)
Ukikokotoa utapata x ni 30/19 ya saa
ukitaka kuhakiki unatafuta kilomita ilizosafiri ndege baada ya 30/19 ya lisaa kisha unatafuta na km ilizosafiri gari baada ya 30/19 ya saa, hizo km za gari na ndege ukizijumlisha lazima zilete jibu la 900 kwa kuwa km zote zilikuwa covered.
Darasa la saba kulikuwa hakuna maswali magumu kama hayo, huo ni ukilaza wako unashindwa kutofautisha hata maswali ya la saba na sekondari
limetafsiriwaSekondari gani walikua wanatoa maswali ya hesabu kiswahili?
Haa haa haaaShida Darasa La Saba umemaliza 2014
Angalie usije ukadata!*Nakumbuka mitihani ya Darasa la saba ilikuwa inaanza kama utani utani hivi*
19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
Halafu huko mbele sasa kuanzia swali la sita au la saba hivi...utajutaa!!
"Ndege inatoka Dar saa tatu asbh kwenda Chato. Na gari Toyota Land cruiser linatoka Chato saa nne asbh kwenda Dar.
Ikiwa spidi ya ndege ni 350km/saa na ya land cruiser ni km220/Saa, na umbali wa Chato-Dar ni KM 900, je, zitakutana saa ngapi?"
Ah, sasa mi ntajuaje???
Na hizi tochi zote barabarani na matuta na ishu ya kusimama kujisaidia...ntawezaje kujua watakutana saa ngapi.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Unajikuta umetoka kwenye pepa umejibu maswali manne tu ya mwanzo kati ya hamsini
Dah... Kwa njia hii ya papara lazima uwe unapigwa tu[emoji12] [emoji12]Juma ana miaka 3 zaidi ya Jafeti.Jumla ya miaka yao ni 19 Tofauti ta miaka yao ni 6.Je, Jafeti ana miaka mingapi.
Haya maswali ya umri yalinikera.
Si wangetoa tu swali hilohilo kwa njia hii,
Umri wa Juma= x
Umri wa Jafeti=y
3x+y=19
x-y=6.
Manenooooooo kibao nilikua niko interested na haya maswali lakini sikuwahi kupata jibu sahihi.
Darasa la saba sio secondari ... soma vizuri.Sekondari gani walikua wanatoa maswali ya hesabu kiswahili?
Usiwe m bishi kwa wale waliomaliza middle schl miaka ya mkoloni maswali yao darasa la nne ni ya form 2 ya sasa. Hilo swali ni la darasa la saba miaka ya 1996 kurudi nyuma kabla Awamu yenu ya Mungai kuwachanganyia hesabu na sayansi/kimulimetafsiriwa
hata baada ya 1996 hayo maswali yalikuwepo hata baada ya kuingia mungai.Usiwe m bishi kwa wale waliomaliza middle schl miaka ya mkoloni maswali yao darasa la nne ni ya form 2 ya sasa. Hilo swali ni la darasa la saba miaka ya 1996 kurudi nyuma kabla Awamu yenu ya Mungai kuwachanganyia hesabu na sayansi/kimu
Kumbe!!! Mi nlidhani Mungai alifanya yakehata baada ya 1996 hayo maswali yalikuwepo hata baada ya kuingia mungai.
Nilimjibu aliyesema haya ni maswali ya sekondari.Darasa la saba sio secondari ... soma vizuri.
Mkuu una stress sana....Hapo unafanya x ndio muda gari litakaotumia kukutana
gari litakuwa limesafiri kilomta 220x
ndege itauwa imesafisafiri kilomita 350(x+1), hiyo ni 1 sababu ya ndege iliwahi saa moja kabla ya gari
Kupata x ambayo ndio muda unatakiwa uzi equate hizo mbili, kwa kuwa jumla ya km ni 900, kilomita ilizosafiri gari lilipokutana na ndege itakuwa ni sawa na 900 utoe km ilizosafiri ndege
220x= 900-350(x+1)
Ukikokotoa utapata x ni 30/19 ya saa
ukitaka kuhakiki unatafuta kilomita ilizosafiri ndege baada ya 30/19 ya lisaa kisha unatafuta na km ilizosafiri gari baada ya 30/19 ya saa, hizo km za gari na ndege ukizijumlisha lazima zilete jibu la 900 kwa kuwa km zote zilikuwa covered.
Darasa la saba kulikuwa hakuna maswali magumu kama hayo, huo ni ukilaza wako unashindwa kutofautisha hata maswali ya la saba na sekondari
how's that?Mkuu una stress sana....
Im liking your stance..!bookshops
I'm not seeking forgiveness
Jukwaa la chit chat we linakupasua kichwahow's that?