Nakumbuka Mitihani yetu ya Darasa la Saba ilikuwa inaanza ivi

Kwa mbali naona unauelewa na masuala haya sio mbaya uko vizuri lakini navokumbuka kama past papers za zamani nimewahi yaona though sina evidence uko vizuri dear sister
ulikua ukiyaona tough ukiwa shule ya msingi, ila ukivuka level ya msingi ukiyarudi maswali yake ni ya kawada sana kama sekondari unafanya vizuri kwenye hesabu
 
Dah haya mambo yalikuwa mazito, sasa usiombe kukutana na swali la umri, yaani ukisolve vibaya unaweza jikuta mjukuu ana miaka mingi kuliko bibi!
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
ulikua ukiyaona tough ukiwa shule ya msingi, ila ukivuka level ya msingi ukiyarudi maswali yake ni ya kawada sana kama sekondari unafanya vizuri kwenye hesabu
Ndo mana binafsi nipo neutral kuhusu hili ila it seems upo vizuri mathematics hesabu nazipenda sana nilipokuwa olevel ili nimeamini nimefaulu Masomo mengine lazima hesabu nibutue hadi leo nataka nijitolee kufunsisha bila malipo few topics kwa olevel na advance.

Ndani ya moyo kwangu kuna traits za ualimu but kilichonifanya niende fani nyingine ni mazingira magumu ya kufundishia but nitajitolea kufundisha few topics
 
hahahahah mbavu zangu bhana hihihihihi
Halafu ukirudi nyuma kidogo wakati wazazi wanasoma utaskia kila mtu alikuwa anakuwa wa kwanza, hata kama walikuwa darasa moja, yaani full cleansheet! Waongee ukweli hakuna anaependa kushindwa hesabu, inatokea tu!
 
Umekosea kdogo. Mtiti ulikua unaanzia swali la 31. Babu unatamani waseme ishieni hapohapo ulipofikia
Na ndiyo maana walimu wengi (enzi hizo) walisistiza mwanafunzi kufanya kwa ufasaha maswali 30 ya mwanzo. Sijui kama mambo hayo bado yapo
 
Halafu ukirudi nyuma kidogo wakati wazazi wanasoma utaskia kila mtu alikuwa anakuwa wa kwanza, hata kama walikuwa darasa moja, yaani full cleansheet! Waongee ukweli hakuna anaependa kushindwa hesabu, inatokea tu!
hahaha na ukimpa swali AH MDA SANA NISHASAHAU HESABU LABDA UKAMJARIBU MAMA/BABA YAKO
 
Darasa la saba kulikuwa hakuna maswali magumu kama hayo, huo ni ukilaza wako unashindwa kutofautisha hata maswali ya la saba na sekondari
watoto wa juzi mnasumbua sana mtt aliyemaliza 2014 akapata hesabu 45:50 ukimpa mtihani wa 2005 akipata sita amshukuru Mungu
 
watoto wa juzi mnasumbua sana mtt aliyemaliza 2014 akapata hesabu 45:50 ukimpa mtihani wa 2005 akipata sita amshukuru Mungu
wewe unaejua hesabu nipe njia na jibu la hilo swali la shule ya msingi, kama huwezi hata swali la shule ya msingi, hufai hata kubishana na mimi chochote kuhusu hesabu, funga domo
 
Halafu ukirudi nyuma kidogo wakati wazazi wanasoma utaskia kila mtu alikuwa anakuwa wa kwanza, hata kama walikuwa darasa moja, yaani full cleansheet! Waongee ukweli hakuna anaependa kushindwa hesabu, inatokea tu!
Mm baba yangu alikuwa mkweli kabixa aliniambia alikuwa wa kwanza na niliona mitihani yake alikuwa akifeli sana amepata 60 mzee wangu alikuwa kichwa aswa
 
na *maswali mengine yalikua hivi*

*umri wa Kelvin wa sasa ni miaka 4 zaidi ya Margaret' mwaka ujao Kelvin atakua na umri mara 2 ya umri wa Margaret' tafuta umri wa sasa wa Kelvin! hapo ndipo jasho linaanza kutoka
 
mimi kweli ni kilaza kwenye hesabu yani japo nambiwa nila darasa la saba bado naona chenga chenga tu
 
We chinchila kokotoa haka kaswali:
X^2+y^2=16.....i
x-y=-4........ii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…