ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
19+87=
219-45=
12×34=
59÷7=
°°°°
halAfu huko mbele sasa kuanzia swali la sita saba hivi, Utajuta:
Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda chato.Land cruiser VX linatoka chato saa nne kwenda Dar.
Ikiwa spidi ya ndege ni 350 km/saa na ya Land cruiser VX ni km 220/saa, na Umbali wa chato -Dar ni km 900, Zitakutana saa ngapi?
Sa mimi ntajuaje?!
Na hizi tochi zote Barabarani, na Matuta, Kuchimba dawa, kunywa chai !!!!