Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer Swali

Ibrahimeliza

Member
Joined
Nov 25, 2020
Posts
37
Reaction score
26
Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer.

Mimi; unafanya biashara gani teacher...??
Lecturer; Hahaahahhaaaaa sina biashara.
Mimi; Kwanini...??
Lecturer; Unajua ukifungua biashara ukimuweka mtu mara akuibie mara ufilisike mara hivi mara vile.
Mimi; Sindo biashara lakini.
Lecturer; Hahahahaaaaaa sio rahisi hivyoo.
Mimi; Haya sawa.
Lecturer; Ila utaweza kufanya muda unao bado kijana damu inachemka, ila soma kwanza lolote likitokea unaelimu yako.
Mimi; Haya sawa nashkuru lecture.
 
Ukaacha kusoma ukaingilia maisha ya mtu.Ulikuwa zuzu.
 
Wafanyabiashara wa Tz(sijajua nchi nyingine) ndumba kwa sana(sio kuwa wanapenda,inawabidi) .

Wakati huo huo Ndumba haipo kwenye notes za kozi za biashara
 
Wafanyabiashara wa Tz(sijajua nchi nyingine) ndumba kwa sana(sio kuwa wanapenda,inawabidi) .

Wakati huo huo Ndumba haipo kwenye notes za kozi za biashara
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ndumba haipo kwenye vitini sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…