Ibrahimeliza
Member
- Nov 25, 2020
- 37
- 26
Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer.
Mimi; unafanya biashara gani teacher...??
Lecturer; Hahaahahhaaaaa sina biashara.
Mimi; Kwanini...??
Lecturer; Unajua ukifungua biashara ukimuweka mtu mara akuibie mara ufilisike mara hivi mara vile.
Mimi; Sindo biashara lakini.
Lecturer; Hahahahaaaaaa sio rahisi hivyoo.
Mimi; Haya sawa.
Lecturer; Ila utaweza kufanya muda unao bado kijana damu inachemka, ila soma kwanza lolote likitokea unaelimu yako.
Mimi; Haya sawa nashkuru lecture.