Nakumbuka wakati wimbo wa ZEZE unatoka mambo yalikuwa hivi....

Mpauko

R.I.P
Joined
Jan 19, 2019
Posts
2,323
Reaction score
3,428
kama wanipenda, kaninunlie zeze,
nikilala kitandani, zeze lanibembeleza, mateso moyoni,
usiku silali, hadithi sitaki, nataka zeze, penzi lako la thamani, mtanashati jamani, usiku silali,
nakupenda zezeee,

kama wanipenda kaninunulie zeze nikilala kitandani zeze lanibembeleza, machungu sitaki, zeze langu silapati, mapepe sipendi, penzi langu burudani, niwapo kitandani zeze langu maanani, zeze langu maananiiiii kama wanipenda(wanipenda) kaninunulie zeze (ooh noo) nikilala kitandani(mmmh), zeze langu lanibembeleza (uuwww yeeeee) ooh yeee oohh yeee sitakiiii, sipati, sitakii sipendiii uuu yeeee nasema tena sipendi burudani (burudani) kitandani oyeeee., manani manani

(JMO) aah ahh mpenzi zeze sema vp basi kama unanikata, mpenzi zeze kabla hijawa balaa, usinilete maposi njoo kwa mwanasanaa, punguza goz goz machizi watakushanga, kama unanipenda njoo uniimbie lala bai, njoo upige zeze tupati tuwe hai wanga wakisema nadhani usiku watalala, zeze anapigiwa mjanja, zeze apigiwi fala, kama unanipenda kaninunulie si hatari kama uko tayari twende home tujivinjari, J mo na TID ndani ya sauti ya dhahabu ni soo ongeza biidi wewe kwangu kama wanipenda kaninunulie zeze (ooh nooo) nikilala kitandani zeze lanibembeleza (huu yeeee)

*****************************

Wakati huu wimbo unatoka...

1+TID alikuwa Top In Dar kwelikweli alikuwa bonge la msanii.

2+alikuwa na kundi la wasanii kibao waliohit enzi hizo..

3+dsco zililipuka kwa shangwe la kufa mtu kila ilipopigwa hii ngoma..

4+james dandu alikuwa bado mzima..

5+ray C alikuwa bado kiuno bila mfupa.

6+tulikuwa tunatumia chai jaba

7+tulikuwa tunatumia Jambo lotion

8+....
9+...

Haya tuendelee wana kwa mtiririko angalau tufikishe +200
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nilitumia ile ya jambo dogo
Aisee wewe ni mwanaume wa dar unaye elekea kuwa babu wa dar,mmhhh jambo lotion ulitumia ipi ile ya mama katikati au mama kubwa?.
 
Kipindi hicho sielewi hata mapenzi na nini..ila ule wimbo nilitokea kuupenda sana..enzi hizo mshua kanunu hitachi screen..kuangalia tv ni kipindi cha taarifa usiku sa2 au kama akisafiri tunaiba chumbani...[emoji23][emoji23] kweli kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…