Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
😅😅.huenda maana ya jina lako nimelirate na ishu zingine anywysNilichumela wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅.huenda maana ya jina lako nimelirate na ishu zingine anywysNilichumela wapi
Mkuu ilikuwaje jamaa mpaka kapewa kipigo au alichukua demu wa mtu
Dear gambe.ili pepo yaani likinitoka ntafurahi sana.pole mlipa kodi mwenzetu T.I.D
Nilimpaga kadi mtoto wa Headmaster . Alikuw mzuri ila mlokole si akampa babake (akanishtaki).nilipigwa kichapo cha mbwa koko.kila nikiziona kadi moyo ulikuwa unaenda mbio[emoji2][emoji2]Enzi hizo boys walikua wanatongoza kwa barua bado...! au kadi za mapenzi...hehhee nilikua na kadi km 100 hv..lol
Nilimpaga kadi mtoto wa Headmaster . Alikuw mzuri ila mlokole si akampa babake (akanishtaki).nilipigwa kichapo cha mbwa koko.kila nikiziona kadi moyo ulikuwa unaenda mbio[emoji2][emoji2]
Yaaap, modo frani hivi, kiuno hakina mfupa, jicho amazing, ray c on peak acha mchezo Mzee baba, Jay d alikuwa anafata nyuma.Pia Ray c alikuwa bado mweusi!!
Issue zipi hizo😀😀😀😅😅.huenda maana ya jina lako nimelirate na ishu zingine anywys
Haya nimepotezea🏃🏃🏃potezea mkuu...huwez elewa
Duh kapendezeshwa kinoma,jamaa alimdesign vizuri sana.
Prisonor=PilsnerRais alikuwa ni mkapa buku Moja ulikuwa unakunywa bia tatu na chenji inabaki. Prisinor prisinor bia imala kama simba.
Unavaa Na Kamba Shingoniii HahaMotorola fulani hivi ziliitwa TID