Nakumbuka wakati wimbo wa ZEZE unatoka mambo yalikuwa hivi....

Mkuu ilikuwaje jamaa mpaka kapewa kipigo au alichukua demu wa mtu

Wanasema walibishana jamaa akajikuta star akamwagia pombe jamaa, so mshikaji nae akaona isiwe kesi akampa kipigo hatari sana kwa afya kinaitwa Mama mkanye mwanao, kama anaua paka vile..
 
Enzi hizo boys walikua wanatongoza kwa barua bado...! au kadi za mapenzi...hehhee nilikua na kadi km 100 hv..lol
Nilimpaga kadi mtoto wa Headmaster . Alikuw mzuri ila mlokole si akampa babake (akanishtaki).nilipigwa kichapo cha mbwa koko.kila nikiziona kadi moyo ulikuwa unaenda mbio[emoji2][emoji2]
 
Nilimpaga kadi mtoto wa Headmaster . Alikuw mzuri ila mlokole si akampa babake (akanishtaki).nilipigwa kichapo cha mbwa koko.kila nikiziona kadi moyo ulikuwa unaenda mbio[emoji2][emoji2]


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...mie had nafika chuo kadi ninazo...dah..yale maneno yake unasoma usk mzma
 
Kulikuaga na ule wimbo wa disco limeingia ngedere
Nyimbo za zamani bwana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkienda disco inapigwa segere ya shabani madobe... baba na mama hawaelewani roho zao mbayaaaa[emoji3][emoji3]
 
wakati wimbo huu unatoka nilikuwa mwizi wa side mirror pale lumumba halafu nilikuwa nina mbio hatari
 
Alikua Ana Shake saana Enzi Izo Saivi Nikiangalia naona alikua Anazingua Hahah Ila enzi Izo Ilikua Balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…