Nakumbuka zamani tu wadau.

Nakumbuka zamani tu wadau.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,656
Akina siye...............

34236_408861633902_520833902_4342090_3708591_n.jpg



Watotot wa Vizito............

 
Huyo mtoto mweusi anaelekea kuelemewa na uzembe wa wazazi wake. Shingoni cheni la kiasili, dogo juu mkubwa chini miguu yaelekea kukosa nguvu kabisa na wala haonyeshi nia kutaka kujifunza kutembea sijui ndio wamembemenda!!!:confused2::mad2::confused2:
 
kweli unakumbuka kale,siku hizi havipo tena hivyo kila mtu anataka hivyo vya plastiki kutoka china.
 
Wa chini ananing'inia kama popo, wa juu pekupeku makanyagioni.😛layball:
 
Back
Top Bottom