better parker
Senior Member
- Jul 26, 2016
- 166
- 103
Rip legendary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko vizuriWengine nyinyi mnapenda vya
kupewa ndo mana wengi wenu mnaishia kuchezewa mnamegwa mnaachwa na hata mkiolewa ndoa
inajaa visa na kuonewa mfano me
narudi muda nao taka na ukiniletea kibuli huwa ni asubuhi talaka!!
Jamaa alikuwa vizuri sana katika nyimbo zakeWengine nyinyi mnapenda vya
kupewa ndo mana wengi wenu mnaishia kuchezewa mnamegwa mnaachwa na hata mkiolewa ndoa
inajaa visa na kuonewa mfano me
narudi muda nao taka na ukiniletea kibuli huwa ni asubuhi talaka!!
Hivi Dada nshawahi kuona wapi....naitwa bahati!
Acha longolongo wee sema uma shi'ngapiHivi Dada nshawahi kuona wapi....
Unaitwaje huu wimbo?Vipi dj haupigi hewani na unasikiliza geto, unadhani hizo vocal ni za kupigia nyeto, hebu kata hiyo insrumental.. usishane
na ss utakua mental
Tupo juuUnaitwaje huu wimbo?