Nakunywa coca cola 5 kila siku, nifanyaje niache!?

Hiyo 90000 ungenunua asali ingekusaidia sana afya yako, nashangaa unatumia hela yako kununua matatizo
 
Ooh, nilitoka kidogo, nimesoma michango yenu wooote na nashukuru kwa maoni na ushauri wenu. Hii tabia kwa kweli itabidi niache, sababu sioni faida yoyote zaidi ya kucreate matatizo.
 
Ooh, nilitoka kidogo, nimesoma michango yenu wooote na nashukuru kwa maoni na ushauri wenu. Hii tabia kwa kweli itabidi niache, sababu sioni faida yoyote zaidi ya kucreate matatizo.
kumbe unajua.

Alafu kapimwe figo, nakuhakikishia utakuwa na mawe makubwa sana kwenye figo na magumu maana coca cola ni nzuri sana kutengeneza mawe.
 

Utakuja kungoka meno kwa hicho kinywaji bro kuna dogo namjua anakunywa 12 kwa siku hana hata jino moja kwahio tahadhari kabla ya athar
 
Moja tuu kwa siku ni sumu tosha sasa Cjui tano tuiteje??? "Time bomb"
 
Pole sana. Unachotakiwa kwanza ukihisi kunywa soda hebu kunywa maji na angalau anza upunguza kutoka 5 mpaka 2 lakini replacement iwe maji Au juice mkuu
 

Nimecheka sana hyo lugha uliyoitumia #hendeli
 
Naomba soma hii ili uelewe madhara yake yalimtokea jamaa Uingereza.

Quote: A man with a three-litre-a-day cola habit drank himself to death, an inquest heard yesterday.
Paul Inman, 30, of Haworth, West Yorkshire, would go out to buy the fizzy drink up to three times a day - and would also down glasses of water to quench his apparent thirst. But the huge quantities of cola and other drinks caused his lungs to swell to four times the normal weight and the Asperger Syndrome sufferer died in his sleep, the Bradford hearing was told Unquote.
 
Kama unamke,unaposikia hamu ya koka baridi fanya mapenzi japo bao2,ukitoka hapo umesahu kunywa koka baridi
 
Muulize Bagdad wa Mexicana Lacavela alikuwa Kama wewe ,Ila yeye alikuwa anapiga hadi 20 akawa na mwili Kama Big Punisher(Huyu haumjui) akawa Kama wacheza sumo wa kijapan yaani alikuwa bonge hata notorious big mwembamba akaja kupata kisukari noma yaani ukimuona kwa sasa hauwezi amini kabisa mpaka ajitambulishe na pia utakataa,ni mwembamba hata Ally Lemtullah ni mnene,hata snoop doggy doggy mnene.
 
Zeroseventytwo coca cola ina kitu kama addiction miaka ya nyuma nilikuwa nakunywa koka bonge 2 kila siku, na ikitokea sijanywa nakuwa anxious sana. Sikumbuki niliachaje bt after one day kukatiza usiku wa matisa kwenda kutafuta coca, nlipomaliza kuinywa ndo fahamu zikarudi nkajikuta naogopa kurudi home mwenyewe hadi nikakodi tax.....so angalia isijekuwa umekuwa addict! Fata ushauri wa kunywa maji hasa ya limao itaisha
 
Last edited by a moderator:
Bora wewe mkuu mimi ninakunywa grand malt karibia 12 kwa siku nimejaribu kuacha kwa njia zote nimeshindwa
 
Usiache kunywa sababu utakapoacha hayo masikio yako yatapungua yatakua madogo
 

Madhara unayoyapata kiafya ni makubwa zaidi kuliko hiyo badget ya 9000 unayoona wewe

Kuacha ni maamuzi yako ikiwa unahitaji kuendelea kuhatarisha maisha yako au la
 
Haiuzwi kwa wenye umri wa chini ya miaka 18.......

Unywaji wa soda kupita kiasi ni hatari kwa kifanyio chako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…