Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe unajua.Ooh, nilitoka kidogo, nimesoma michango yenu wooote na nashukuru kwa maoni na ushauri wenu. Hii tabia kwa kweli itabidi niache, sababu sioni faida yoyote zaidi ya kucreate matatizo.
Nimejaribu kujizuia lakini nashindwa. Nakunywa wastani wa coca cola 4-5 kwa siku. Nikiamka tu kabla sijala chochote nakung'uta coca baridi. Nikigonga supu naisukumia na coca baridi.
Mchana nikipata menu, napumzika kama dk 15 naweka coca baridi. Mitaa ya saa kumi wakati napumzika baada ya mishe nagonga coca baridi. Usiku kama sijanywa pombe (lite) nikiwa na washkaji napiga coke baridi.
Hii maanake Nina bajeti ya kama 90000/= kwa ajili ya soda kwa mwezi. Nifanyaje niachane na hii kitu?
hiyo soda ina kiwango kikubwa sana cha sukari ambayo ni hatari sana kwa afya.usipo fanya juhudi ya kuacha km ni wa kiume basi jiandae kumtafutia wife mtu wa kumridhisha utapofika umri wa makamu,maana lazima gari litakuwa la kusukuma ama kupiga hendeli
duuh!! huo ushauri wako mkuu hapana.Usiache kunywa sababu utakapoacha hayo masikio yako yatapungua yatakua madogo
Mwambie Ghachuma afunge kiwanda