Kuacha ni uamuzi
Mie nilikuwa asubuhi soda ndio chai...mchana soda jioni soda nikiwa na kiu soda.
Nikaamua sasa soda basi. Ni mwendo wa maji tena nilijipangia sio chini ya lita 3 kwa siku.
Nina mwaka saaa hata uniweke kwenye kisima cha soda sina hamu nayo. (Ile hamu ya passion ya baridiiuiiiii au koka ya baridiiii shurti ikuchome koo...imekwisha )
Lucky you.,
Mimi sio chini ya nane and what pains me ni kuwa hata boys wangu wameanza kuzijua.
Jitahidi uache my dear..ukisikia hamu kula matunda instead. ..sio rahisi ila utaweza
Ha haaaa Jembe afrika sasa atakuwa amefanya nini akihamia kwa pepsi ?