Nakunywa coca cola 5 kila siku, nifanyaje niache!?

Nakunywa coca cola 5 kila siku, nifanyaje niache!?

Lucky you.,

Mimi sio chini ya nane and what pains me ni kuwa hata boys wangu wameanza kuzijua.
Kuacha ni uamuzi

Mie nilikuwa asubuhi soda ndio chai...mchana soda jioni soda nikiwa na kiu soda.

Nikaamua sasa soda basi. Ni mwendo wa maji tena nilijipangia sio chini ya lita 3 kwa siku.

Nina mwaka saaa hata uniweke kwenye kisima cha soda sina hamu nayo. (Ile hamu ya passion ya baridiiuiiiii au koka ya baridiiii shurti ikuchome koo...imekwisha )
 
Coca ina addiction kama addiction ya madawa ya kulevya! The only way ya kuacha n kunywa maji mengi ikiwezekana ya vuguvugu at least lita 3 kwa siku! Na ikiwezekana tembea na chupa ya maji kbs kujikumbusha unahitaj maji! After 3 weeks addiction itaisha
 
Kwa sasa baada ya kupata ushauri, nimeacha. Ingawa mwazoni nilikuwa nikiumwa kichwa....

Wala si kazi ngumu kuacha, niliamua tu
 
Angakia madhara yake kene mtandao na uwe unataka kuacha. Mimi nimekunywa soda sita tangu october 2014. Na nlialikwa kwa mtu
 
Hahahaha nimecheka saana,eti jamaa anakwambia acha COCA,kunywa PEPSI
 
Hamia Coke Zero mkuu haina sukari et least unakuwa haunenepi na meno hayaharibiki. Au jaribu chai/coffee maana utakuwa addicted na caffeine.
 
Back
Top Bottom