wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Nimekuwa nikiona mara kadhaa inabidi mtu anywe lita 1 ya maji au zaidi kwa siku ili kulinda afya, kwangu hali ni tofauti.
Kwa muda mrefu nimekuwa nakunywa mai pungufu ya robo lita
kazi yangu ni ya kisomi nasukuma kalamu na kuongea hivyo situmii sana nguvu za mwili.
Sehemu nilipo hakuna joto
Sehemu nayotumia zaidi maji ni kwenye mazoezi mepesil, nakimbia raundi tano uwanja wa karibu, nikirudi nyumbani nakunywa kikombe kimoja
Asubuhi nakunywa kikombe cha chai, nikila huwa nakunya maji kidogo