wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Sehemu kama vijijini maji ni changamoto lakini wana afya nzuriThe same
Juzi nilimsikiliza daktari wa figo alisema hata nusu lita inatosha kwaajili ya figo. Kikubwa uwe unakunywa maji kila sikuKunywa maji kijana kama unapenda Figo yako. Isipungue lita 3.5 kwa maeneo ambayo hayana jua kali
Karibu darNimekuwa nikiona mara kadhaa inabidi mtu anywe lita 1 ya maji au zaidi kwa siku ili kulinda afya, kwangu hali ni tofauti.
Kwa muda mrefu nimekuwa nakunywa mai pungufu ya robo lita
kazi yangu ni ya kisomi nasukuma kalamu na kuongea hivyo situmii sana nguvu za mwili.
Sehemu nilipo hakuna joto
Sehemu nayotumia zaidi maji ni kwenye mazoezi mepesil, nakimbia raundi tano uwanja wa karibu, nikirudi nyumbani nakunywa kikombe kimoja
Asubuhi nakunywa kikombe cha chai, nikila huwa nakunya maji kidogo
Huwez kuona kwa sasa mkuuJuzi nilimsikiliza daktari wa figo alisema hata nusu lita inatosha kwaajili ya figo. Kikubwa uwe unakunywa maji kila siku
Kunywa maji, ukijipunja huwez kuona athari zake leo au wiki ijayoJuzi nilimsikiliza daktari wa figo alisema hata nusu lita inatosha kwaajili ya figo. Kikubwa uwe unakunywa maji kila siku
Sawa lakini hizo lita 3 na nusu ulizosema hapana aisee. Inategemea hali ya hewa na kazi unazofanyaHuwez kuona kwa sasa mkuu
Kunywa maji, ukijipunja huwez kuona athari zake leo au wiki ijayo
Kihana kinakujaKila mmoja na maumbile yake sio kila mmoja ni sawa na wengine
Mimi sinywi maji kabisa ila nakunywa chai, kahawa, na juice tu
Maji kama maji naogea tu na ndio naona matumizi yake 😄
Afya yangu ni njema sana sina tatizo lolote
Sukari kwa sana na hata chumvi pia
Joto likiwa kubwa na maji chumvi yanasbabisha unaswet sana. Shida wabongo hamnywi maji mpaka kiuSawa lakini hizo lita 3 na nusu ulizosema hapana aisee. Inategemea hali ya hewa na kazi unazofanya
Kihana ndio niniKihana kinakuja