Nakupa chimbo la makobazi, utakubali wewe mzee

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
9,953
Reaction score
23,150
Na kalaga baho
Aseee nina furaha kubwa ya kujadili na wafanyabiashara wenzangu. Poleni sana watanzania kwa kumpoteza Mzee Ndugulile kigamboni.

Aseee nilkuwa nimelala hapa nimepigiwa simu na kijana wangu Ahkmed wa Reflexes anadai mzigo ushafika pale Msimbazi. Jengo la Simba ndipo anapopatikana +254 741 367141

Makobazi hayo hapo wazee unyama ni mwingi

 
Kwahiyo katoni n moja ndio pcs 36 mkuu??
 
Unyama ni mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…