Nakupa chimbo la sendols za kiume, kwa wafanyabiashara tu

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
9,953
Reaction score
23,150
Nawasalim kwa jina la jmt

Kuna watu wanafanya biashara ya hivi viatu, mikoani, daresalaam, visiwani.

Hivi viatu unavipata kwa mchina flani hivi anapatikana Narun'gombe na na Msimbazi pale hoteli ya Hong Kong. Bei zake ni za Katoni (24 pieces) na mizigo yake haikai sana.

Kalaga baho.

 
Mkuu naweza nikapataje mi wa kanda ya ziwa?,naweza letewa huku?na je yebo yebo ziko hapo pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…