Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
-
- #21
Wazo zuri, wafanyakazi wa bei rahis tupo hapahapaNawazo lakuanza uzalishaji wa sandals kama hizi na nyingine za aina mbalimbali.
Naamini mwaka 2025 utakua mwaka mzuri kwangu.
Kama unavaa brand ya clack basi hizo sandals ni sahihi kwako.Daaaa we jamaaa hizo ni sendo sasa?nilitegemea kuona brand ya clack,,,
Kuna vidude nimeona Wahuni wanaviuza 25,000 mpaka 30,000 yaan karibu mara 3 ya bei yake
Karibu mjini mkuu, mm natkiwa nilipwe na Maxence Melo wa JamiiForums mana nawapa watu utajiri wajiendeleze bila kutaka senti mia. We are families, so kuna mtu nikimpelekega huko kona ananilipa 10 usd. Kazi kwako kazi ndo hizi hiziKuna vidude nimeona Wahuni wanaviuza 25,000 mpaka 30,000 yaan karibu mara 3 ya bei yake
Yaan madogo wa Chuo wananunua saaana hivyo vidude 25,000 mpaka 30,000 tena uwakute wamelikamata boom utafurahi na roho yakoKaribu mjini mkuu, mm natkiwa nilipwe na Maxence Melo wa JamiiForums mana nawapa watu utajiri wajiendeleze bila kutaka senti mia. We are families, so kuna mtu nikimpelekega huko kona ananilipa 10 usd. Kazi kwako kazi ndo hizi hizi
Vichuo chuo na vibishoo mitaani ni pigo zao hizoYaan madogo wa Chuo wananunua saaana hivyo vidude 25,000 mpaka 30,000 tena uwakute wamelikamata boom utafurahi na roho yako
Sana mkuu, naendaga endaga kwq yule jamaa pale, kuna wachina wengi jengo lileNdio yupo vizuri sana pale ukinunua mzigo ganji uhakika katoni moja 5000
Piga sana spana hapo unakunja 24 unakusanya hela ya faida kwenda kuzoa 48 na faida juu, mjini akili mbeleVichuo chuo na vibishoo mitaani ni pigo zao hizo
Waliopo pale kuanzia unapopanda ngazi upande wa kushoto na kulia wanatoa ganji nzuriSana mkuu, naendaga endaga kwq yule jamaa pale, kuna wachina wengi jengo lile
Wewe nenda mwenyew nimekueleza wale hata huduma ya kumtumia mtu wa mikoani hawana. Ni jamaa flani hivi tia hela jitishwe usepeTupia contact hapa
Anhaaa... nitawafosia kumbe.. mana mm napandishaga juu pale kuna mchina anauza hizi hapo chini. Na siku hizi kahamaWaliopo pale kuanzia unapopanda ngazi upande wa kushoto na kulia wanatoa ganji nzuri
Katoni ni pea 24Jumla kuanzia ngapi?
Hakuna tabu mkuu wanguMkuu Kalaga Baho Nongwa naomba unitag kwenye nyuzi zako nyingine
J ndiyo anauza tshet,mwenzake ndiyo anajivuta kwenye sandals,alianza na vibanzi vya adidasYesss.. huyo anajiita ndio orijinal
Kuns hadi mawinga wa kichina kona zileJ ndiyo anauza tshet,mwenzake ndiyo anajivuta kwenye sandals,alianza na vibanzi vya adidas