Nakupa chimbo la sendols za kiume, kwa wafanyabiashara tu

Nakupa chimbo la sendols za kiume, kwa wafanyabiashara tu

Daaaa we jamaaa hizo ni sendo sasa?nilitegemea kuona brand ya clack,,,
Kama unavaa brand ya clack basi hizo sandals ni sahihi kwako.
Pale unapojikuta mjuaji kumbe mbumbumbu.

Ni Clarks bwashee.

1731855181560.png
 
Kuna vidude nimeona Wahuni wanaviuza 25,000 mpaka 30,000 yaan karibu mara 3 ya bei yake
Karibu mjini mkuu, mm natkiwa nilipwe na Maxence Melo wa JamiiForums mana nawapa watu utajiri wajiendeleze bila kutaka senti mia. We are families, so kuna mtu nikimpelekega huko kona ananilipa 10 usd. Kazi kwako kazi ndo hizi hizi
 
Lakini msisahau nina chimbo la pochi. Muuzaji mwenyew niko kawe 🥱
 
Karibu mjini mkuu, mm natkiwa nilipwe na Maxence Melo wa JamiiForums mana nawapa watu utajiri wajiendeleze bila kutaka senti mia. We are families, so kuna mtu nikimpelekega huko kona ananilipa 10 usd. Kazi kwako kazi ndo hizi hizi
Yaan madogo wa Chuo wananunua saaana hivyo vidude 25,000 mpaka 30,000 tena uwakute wamelikamata boom utafurahi na roho yako
 
Back
Top Bottom