asilimia 100 zikiwa mkononi mwake, mkiingia ubia zinageuka 70%. na huyu anaetoa nguvukazi na idea anakuwa na 30%. utasemaje mwenye 30% hawezi kupata hasara?
naomba uliza 2mil ktk highly paid paid business inaweza leta faida ya kiasi gani wataalamu nijuzeni kwani natamami kutoka haraka haraka lakini sifahamu nizizungushaje? msaada pls januari ndio hiyoo!
Iwapo 2m yote itakuwa ni working capital (mtaji wa kuzungushia) kwa kawaida profit inachezea kwenye 20%. Inategemeana na biashara yenyewe, maana zingine hadi 100% faida yan shilingi inazaa shilingi. Mfano wanasemaga vipodozi, mchele iwapo utauhifadhi na kusubiri bei ipande.
Lakini kama out of 2m kuna kukodi frem, au kununua mashine or anything, ni dhahiri kuwa WC itapungua hence profit kupungua.