Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njoo pm
asilimia 100 zikiwa mkononi mwake, mkiingia ubia zinageuka 70%. na huyu anaetoa nguvukazi na idea anakuwa na 30%. utasemaje mwenye 30% hawezi kupata hasara?Kama hela ni zake asilimia 100 wewe hiyo hasara ya asilimia 30 unaitoa wapi??@#
naomba uliza 2mil ktk highly paid paid business inaweza leta faida ya kiasi gani wataalamu nijuzeni kwani natamami kutoka haraka haraka lakini sifahamu nizizungushaje? msaada pls januari ndio hiyoo!