Nakupa Siri ya kuwapata wadada wa kichaga

Mwenye masikio na asikie na asiyeamini nitakalosema afanye utafiti, akishindwa anitafute;
DAWA YA AKINA DADA WA KICHAGA NI WANAUME/WAKAKA WA KISUKUMA.
siri ya hawa jamaa kuwapata wachanga ni nini?
 
Tofauti kati ya kona bar na uchagani ni quality. Mtoto wa kichaga kakulia kwa mtori, maziwa ya ngombe, skin nyororo. Wengi uwa wa ukweli

na kona bar kulingana na offer yako unapata mtoto kila dizaini, wapo corporate mnaoshinda nao ofisini mshahara wa laki saba lakini wana push Q7, hawa wamekulia maisha ya ndizi nyama wanafanya hiii biashara kwa sababu ya kutaka mambo makubwa tu lakini daddy na mummy wanauwezo. lakini pia kama una dau dogo wapo hao wa akina mwanahawa hata maji kuoga ni issue na mikono yao migumu kama spana.
 
Hawa kina Mwanahaha tatizo lao shombo, unaweza kulabwa na paka njiani
 
ukiona ivyo domo lako zito kifupi ujui kumwaga swaga
 
wasukuma huwa hawafanyiwi tohara wakiwa watoto hivyo huwa na mashine kUUBWA.
Hafadhali ya hawa wasukumu. Jee hawa wa nyanda za juu kusini. Kuna misumari huko ya kila inchi, hasa kwa Kina kamwene na ndaga fijo.Jee hao nao wanapendadwa na dada wa kichaga
 
Mwenye masikio na asikie na asiyeamini nitakalosema afanye utafiti, akishindwa anitafute;
DAWA YA AKINA DADA WA KICHAGA NI WANAUME/WAKAKA WA KISUKUMA.

Halafu nasikia wanajua sana kupenda eti, halafu sio wavivu wala marioooooo.
I like wasukuma. Sio ndio muanze ku PM, hapana.

But I like them.
 
siri ya hawa jamaa kuwapata wachanga ni nini?

Kwa huyu msukuma ninaemfahamu, namuona anajua kupenda, sio Mariooooooo.
Ana huruma, halazimishi watu wasonge ugali wa kisukuma, yeye hata ndizi anakula kwa sana na ubwabwa pia.

Sijui wengine lakini.
 
Hafadhali ya hawa wasukumu. Jee hawa wa nyanda za juu kusini. Kuna misumari huko ya kila inchi, hasa kwa Kina kamwene na ndaga fijo.Jee hao nao wanapendadwa na dada wa kichaga

nope kuna factor nyingine, wanaume wengi ni weupe na wadada wa kichaga wanapenda wanaume weupe.
 
Hahahahah!!! una experience ya kufa mtu na hawa wadada!!!!! Hii imenichekesha sana (wapo hao wa akina mwanahawa hata maji kuoga ni issue na mikono yao migumu kama spana)
 
CRAP of the day!
Kila mtu ana kitu/vitu tofauti anavyoangalia..na hiyo haina uChagga wala uMassai!!
We unadhani wadada wa kiChagga wanaishi kwa kuhongwa ehhh???Watu wanazisaka daily alafu
unategemea ataweweseka na vijishilingi!!?Acha utani wewe!!!Alafu bila aibu unasema hawana moyo
wa kupenda.......acha kuchafua watu wengine!!!
OHhhh kabla sijasahau..kama uliyosema yote ni kweli nini haswa kinawafanya watu kibao waoe uChaggani ?
 
nope kuna factor nyingine, wanaume wengi ni weupe na wadada wa kichaga wanapenda wanaume weupe.

Mmmmmh mwanaume mweupe!!
Heart breaker??

Sidhani!!
 
Asante Lizzy,mimi sijui watu kwanini hawafanyi tafiti kabla ya ku-generalize na ku-offend wenzao.......unakuta mtu amekuwa na wasichana wake wa bei rahisi wakamchuna hadi basi,then akitoka hapo anakurupuka JF kuongea hayo......get a life and give us a big break........
 
Mmmmmh mwanaume mweupe!!
Heart breaker??

Sidhani!!

Basi lazima ni ufala wa wasukuma ndio mnapendaga, maana kama kuna wanawake wanapenda kuendesha wanaume wachaga wanaongoza.
 
Hebu mueleze vizuri, nadhani hajui sawasawa wachaga wako je.
Mchagga umdanganye na hela/vijisenti?

Wa wapi huyo?
 
Shimboni!!
 
Acha kudanganya watu bwana ina maana tunapenda sana pesa kuliko mapenzi??? Mbona thread za wachaga zimekuwa nyingi nini tumekosea??
na bahati mbaya sana kizazi cha wachaga wachapa kazi kinazidi kwisha...!!! kinaongezeka cha wanywaji na wavivu..!!
 
Kwa huyu msukuma ninaemfahamu, namuona anajua kupenda, sio Mariooooooo.
Ana huruma, halazimishi watu wasonge ugali wa kisukuma, yeye hata ndizi anakula kwa sana na ubwabwa pia.

Sijui wengine lakini.

The Following User Says Thank You to LD Ten Times For This Useful Post:

Paka Mweusi (Today)​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…