Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,553
- 2,380
Hebu nipe mbinu za kumpata mwanaume wa kichaga.
kwa kuanzia cheza sana mitaa ya baa kama haufanyi kazi BOT au TRA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nipe mbinu za kumpata mwanaume wa kichaga.
Asante Lizzy,mimi sijui watu kwanini hawafanyi tafiti kabla ya ku-generalize na ku-offend wenzao.......unakuta mtu amekuwa na wasichana wake wa bei rahisi wakamchuna hadi basi,then akitoka hapo anakurupuka JF kuongea hayo......get a life and give us a big break........
Hebu mueleze vizuri, nadhani hajui sawasawa wachaga wako je.
Mchagga umdanganye na hela/vijisenti?
Wa wapi huyo?
umechukua pesono sana, hayo ya kufanya risechi yanahitaji mtu mwenye shida zake ki akademiki, huyu anataka tu eksipiriensi za watu, wala isikuofendi kama wewe ni mchaga na hupendi kabisa mkwanja.
Mweekee bajeti ya kiasi cha pesa, muonge mara ya kwanza, ya pili, ya tatu mpaka ya tano. Mara ya sita omba mzigo. Walahii Aruki!!! Ukiingia kwa sound, mtafika kigoma kwa treni na kurudi hata safari mia, akuelewi. Hawa awana moyo wa kupenda, maslai kwanza.
Mtu ataachaje kuchukulia personal kitu kinachomhusu???:eyeroll1:
. Kama hataki, achape lapa!
mi napenda zea wei of traveling a.k.a miguu
hata sijui nianzie wapi, lakini kwa ushauri tu, uki pesonalizi maneno ya humu utapata BIPI, kuna siku mtu atakuja na hoja wanawake wanaovaa G string wanatoa tigo nayo utaichulia kama inakuhuhusu?
mi napenda zea wei of traveling a.k.a miguu
Mweekee bajeti ya kiasi cha pesa, muonge mara ya kwanza, ya pili, ya tatu mpaka ya tano. Mara ya sita omba mzigo. Walahii Aruki!!! Ukiingia kwa sound, mtafika kigoma kwa treni na kurudi hata safari mia, akuelewi. Hawa awana moyo wa kupenda, maslai kwanza.
Enheee imefanyaje tena?:eyeroll1:
Hii imezidi..maana mnavyotukomalia...mara miguu...mara mshiko...mara sijui washamba....mara sijui hatuna mapenzi list inaendelea!!Alafu bado mnatutaka!!!
kwetu kule "useri" karibu na ile shule ya sekondari
Hii imezidi..maana mnavyotukomalia...mara miguu...mara mshiko...mara sijui washamba....mara sijui hatuna mapenzi list inaendelea!!Alafu bado mnatutaka!!!
vere interesting
aisee !!! kwani nyie mnawataka pia?