tracy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 784
- 268
Mkuu Mimi Wife ni Mchaga na wala Sikupitia hizo Njia alizoainisha MS
asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mimi Wife ni Mchaga na wala Sikupitia hizo Njia alizoainisha MS
Hebu nipe mbinu za kumpata mwanaume wa kichaga.
Mweekee bajeti ya kiasi cha pesa, muonge mara ya kwanza, ya pili, ya tatu mpaka ya tano. Mara ya sita omba mzigo. Walahii Aruki!!! Ukiingia kwa sound, mtafika kigoma kwa treni na kurudi hata safari mia, akuelewi. Hawa awana moyo wa kupenda, maslai kwanza.
Mku mi sikubaliani nawe hamna mwenye mapenzi kama wadada wa kichagga mi mpenzi wangu wa kwanza alikuwa mchagga na alikuwa ananinunulia nguo na perfume na tukitoka siku zingine analipa yeye
Toto lilikamilika kila idara alipata ajali na kufariki siunajuwa hawa jamaa zetu kila mwezi mlimani.how was her means of transport a.k.a mbigili
Naona kama kuna kaukweli hapo.............
Mweekee bajeti ya kiasi cha pesa, muonge mara ya kwanza, ya pili, ya tatu mpaka ya tano. Mara ya sita omba mzigo. Walahii Aruki!!! Ukiingia kwa sound, mtafika kigoma kwa treni na kurudi hata safari mia, akuelewi. Hawa awana moyo wa kupenda, maslai kwanza.
Mku mi sikubaliani nawe hamna mwenye mapenzi kama wadada wa kichagga mi mpenzi wangu wa kwanza alikuwa mchagga na alikuwa ananinunulia nguo na perfume na tukitoka siku zingine analipa yeye
acha uwongo bwana hii topic inawafaa watu wa std 7 na sii great thinkers. wachaga hawako after money wanapenda maendeleo.we kama ulitaka mtu wa kumaliza nae siku kwanini usingeenda pale makaburini kinondoni? una ushahidi au unataka kufurahisha wanajf? siku hizi kila mwanadada anataka maendeleo hivo ukimtaka lazima ajue mwelekeo wako wa kimaisha. we unataka zezeta tu ili umchezee ama? kweli wewe msandawe mnawaza tu ngono suala la maendeleo halipo kwenu au vipi???? tembelea uchagani ujionee maendeleo utajua ni kwanini watoto wa kike wanasomeshwa kwa wingi.
Ignorance at its best!Katika msafara wa mamba, pia kenge wamo. Labda ulibahatika kumpata kenge
Acha kudanganya watu bwana ina maana tunapenda sana pesa kuliko mapenzi??? Mbona thread za wachaga zimekuwa nyingi nini tumekosea??
Naona kama kuna kaukweli hapo.............
mara shape less, mara miguu sijui imakaaje, sasa mmeenda kwenye ugumu wa kutongozeka. hamchoki tuu kutujadili? hii inamaana kwamba, sisi (wachagga) ni watu wa muhimu sana katika nji hii!!!!
wachaga hoyeeeeeeeeeee! tuko juu kama ndege ya nani vile?!!
We mwenyewe unapenda...tofauti ni kwamba tuna juhudi za kuzitafuta na sio kuhongwa!
Inamaana ampendi pesa? Bisha nitakupa zawadi
We mwenyewe unapenda...tofauti ni kwamba tuna juhudi za kuzitafuta na sio kuhongwa!
Basi lazima ni ufala wa wasukuma ndio mnapendaga, maana kama kuna wanawake wanapenda kuendesha wanaume wachaga wanaongoza.