Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Jf ndio mfaliji wake maana hatumjui hivyo analipuka ajuavyo.Ana tatizo sana huyo Member utulivu wa akili hana kabisa, kuna siku alinizushia maneno humu aisee nikaamua kum ignore mazima. Mtu kama huyu anapitia kipindi kigumu sana hasa kiakili
Muache aenjoy akichoka ataacha.