Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Oct 22, 2024 #21 Manyanza said: Ana tatizo sana huyo Member utulivu wa akili hana kabisa, kuna siku alinizushia maneno humu aisee nikaamua kum ignore mazima. Mtu kama huyu anapitia kipindi kigumu sana hasa kiakili Click to expand... Jf ndio mfaliji wake maana hatumjui hivyo analipuka ajuavyo. Muache aenjoy akichoka ataacha.
Manyanza said: Ana tatizo sana huyo Member utulivu wa akili hana kabisa, kuna siku alinizushia maneno humu aisee nikaamua kum ignore mazima. Mtu kama huyu anapitia kipindi kigumu sana hasa kiakili Click to expand... Jf ndio mfaliji wake maana hatumjui hivyo analipuka ajuavyo. Muache aenjoy akichoka ataacha.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Oct 22, 2024 #23 Mpaji Mungu said: Huo wa Niumbie Moyo Safi ni next level Click to expand... Kabisa jamaa kauimba vizuri sana
Mpaji Mungu said: Huo wa Niumbie Moyo Safi ni next level Click to expand... Kabisa jamaa kauimba vizuri sana