Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sio kazi ya Website mkuu.Mimi nimetafuta website inayotoa taarifa za Bei ya bidhaa za nafaka na mifugo hapa Tanzania sijaipata,kwa current update za bei kila siku kwa mikoa yote bara na visiwani.(anaeifahamu anajulishe)
Ahsante mkuu,sina ujuzi Sana na Mambo ya ICT,Japo nimetafuta sana hiyo portfolio itakayonipatia taarifa za Bei ya mazao na mifugo jinsi ilivyo kwa mikoa ya nchi nzima sijaipata.Hiyo sio kazi ya Website mkuu.
Sustainable Portfolio Worth 1.5 Millions/Month | 2020.
Ahsante mkuu,sina ujuzi Sana na Mambo ya ICT,Japo nimetafuta sana hiyo portfolio itakayonipatia taarifa za Bei ya mazao na mifugo jinsi ilivyo kwa mikoa ya nchi nzima sijaipata.
Ajira nyingi Tanzania Zinatumia Njia Ya "Kamlete"
Professionalism Aside
Vilaza bhana kawaida wanagopa ushindani na ubunifu wao huwa ni ziro siku zote.Hii idea ni kimeo. Kwa mtu ambaye hana msuli wa kutosha hata asijisumbue, atalia tu.
In short zipo agencies nyingi zinafanya. Sites za kutosha tu. Nyingine zinaoperate kimya kimya kwa kufanya CV - JOB Matching na wana connection za kutosha na waajiri wa makampuni, mashirika na taasisi mbalimbali.
Sio kila ambacho hukioni hakipo.
Wazo zuri sana kaka daah hadi moyo wangu umepiga kwa furaha ila ninayo hii system ila katika option nyingine
Fanya tuone halafu ulete mrejesho hapa. Mnapenda kuandika mambo kwa urahisi urahisi tu!Vilaza bhana kawaida wanagopa ushindani na ubunifu wao huwa ni ziro siku zote.
Sasa wewe usiweze ata kuona kuwa hizo agencies licha kuwepo bado sinapiga pesa...? na je uwezi ata kujituma kuboresha idea hii na kwanini uwe tegemezi asilimia [emoji817].
penda kujifunza kwa wengine pia ni fursa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona simpo sana.. Uchumi umeukalia tatizoYaani mimi huwa natamani sana.ila jinsi ya kufungua online app ndo huwa siwezi.
Natamani nijue sana
Hello wanaJamii,
Sitaki kujisifia kuwa hiii Idea ni bora au kabambe kuliko zote ila ni idea ambayo ni unique kwa hapa Tanzania na kama ukiwa serious unaweza toboa.
KWA NINI MIMI BINAFSI SIJAINVEST:
Sio kwa sababu ni ngumu au haina mashiko ila ni kutokana na kuwa na "options" za ideas nyingine so nikawa na uhuru wa kuselect idea tofauti. So naweza sema kulikuwa na factors tofauti (excluding capital) ambazo ziliweza kunilimit kuinvest hii idea.
KWA NINI NIMESHARE:
Wote tuna jukumu la kuwa na utu. So kwa nini niifiche hii idea wakati kuna watu wanatafuta fursa.
Kama mnavyoelewa kwa sasa Pesa inatembea kwa kasi katika biashara zinazohusiana na Teknolojia na Mtandaoni (online) e.g AMAZON, EBAY, TESLA..n.k. Kumekuwa na ongezeko la watu kwenda na kasi ya Teknolojia hapa nchini thus uhitaji wa huduma za kiteknolojia kuongezeka.
IDEA YENYEWE:
Inahusiana na site ya mtandaoni (ONLINE SITE) inayosaidia watu katika nyanja mbili muhimu.
1: Kutangaza UJUZI NA SKILLS ili wajipatie kibarua au tenda.
example;
NAME: John Michael
CONTACT: 0755xxxxxx
LOCATION: Tarime, Mara, Tanzania
EXPERTISE/SKILLS: Gypsum board decoration
DESCRIPTION: maelezo juu ya kazi zake
PREVIOUS PROJECTS: kama atakuwa na ushahidi wa kazi alizozifanya (maelezo au picha)
CERTIFICATION: kama anawez kuwa na certificate (cheti) juu ya exepertise au juu wake anaweza kuppload.
RECOMMENATION: Kwa watu watakao kuwa wana mfahamu kwa kazi zake wanaweza kumu - endorse
2: Kutangaza KAZI, KIBARUA au TENDA itakayohitaji ujuzi wa mtu.
example;
NAME: Viviana Joseph
CONTACT: 0763xxxxxx
CATEGORY OF EXPERTISE NEEDED: Pyschology and Counselling
DESCRIPTION: Nahitaji mtu aliebobea katika saikolijia na ushauri, kwa msaada wa kunitoa katika hili janga la depression.
Kwa Ujumla, zifuatazo ndio contents nilizotaka kuziweka katika hii site.
● MWANZO
-sign up
-log in
About us:
-sign up
-summary
-vision
-mission
-values
-links on social media
● THEN BAADA YA KU-SIGN UP
Mtumiani atahitaji kujiregister kama expertise au mtafutaji wa expert.
■ Expert:
-photo
-name
-contact
-description
-links
-expertise
-location
-previous projects
-certifications
-recommendation
■ Expert searcher:
-choose a category
-post a job
-description
Pia katika site yako, utahitaji kutofautisha ujuzi katika makundi tofauti ili iwe rahisi kwa watu kujitangaza au kutangaza vibarua vyao.
■ CATEGORIES:
1.Consulting, Writing And counselling
-legal consulting
-business consulting
-financial and social securities
-counselling & therapy
-proposal/project writing
2. SERVICES:
-decorations
-entertainment
-clearing & forwading
-relaxation
-food & catering
3. CONSTRUCTION, TECHNICAL AND FABRICATION
-interior design
-artitecture
-repairing
-elecrical
-mechanical
-welding
-painting and wall paper
4. DESIGNING AND CREATIVE
-fashion and clothing
-graphic designing
-photograph
-videograph
-drawing
-craftry
5. ACCESORIES AND GADGETS
-phone repair
-computer repair
-other gadgets repair
-TV, decoder services
6. AGENT
-trade Brokers
-real state brokers
7. INFORMATION TECHNOLOGY
-web building
-software/application dealers
8. PERSONAL CARE AND SAFETY
-security
-maid
-personal shopper
-delivery
9. OTHER EXPERTISES
● KUTANGAZA BIASHARA
So as long as hii ni biashara na wewe utahitaji kujitangaza ili wananchi wafahamu kuhusiana na online site yako.
Waweza kutumia njia zifuatazo
-social media advertising (kupitia Twt, FB, inst, etc )
-fika kwa watu wenye hizo expertises na uwapatie elimu ya site yako
-advertise on radio/tv
-attend conferences zinzohusiana na online businesses
-long tail keyword
-webinars
●MAPATO
-Itabidi uchunguze na ujifunze njia za wewe kupata kipato katika biashara ya online. Njia za kawaida za kupata kipato ni kama kutangaza biashara za watu wengine, malipo ya matangazo maalum ya ujuzi..etc
-Lakini pia baada ya platform yako kuwa maarufu unaweza kutengeneza "PREMIUM" site ambayo wewe tena ndio utakuwa agent wa moja kwa moja kwa hawa watafuta watu wa ujuzi. Watatakiwa kulipa montly charges za wao kuwa premium au wewe kupata commission katika kila malipo yao watakayo yapata. So utatakiwa usiweke contacts katika profile zao ili mtafutaji asiende kwao direct bali kupita kwako kwanza ili experts ndio wapate hizo projects.
That's it guys, hapo ndipo nilipofikia, kwa kupitia idea hii na wewe unaweza kuirekebisha au kuongeza vionjo vingine ili iwe nzuri zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app