Nakupatia bure "Idea ya fursa", ukifanikiwa usinisahau

Mimi nimetafuta website inayotoa taarifa za Bei ya bidhaa za nafaka na mifugo hapa Tanzania sijaipata,kwa current update za bei kila siku kwa mikoa yote bara na visiwani.(anaeifahamu anajulishe)
 
Mimi nimetafuta website inayotoa taarifa za Bei ya bidhaa za nafaka na mifugo hapa Tanzania sijaipata,kwa current update za bei kila siku kwa mikoa yote bara na visiwani.(anaeifahamu anajulishe)
Hiyo sio kazi ya Website mkuu.

Sustainable Portfolio Worth 1.5 Millions/Month | 2020.
 
Hiyo sio kazi ya Website mkuu.

Sustainable Portfolio Worth 1.5 Millions/Month | 2020.
Ahsante mkuu,sina ujuzi Sana na Mambo ya ICT,Japo nimetafuta sana hiyo portfolio itakayonipatia taarifa za Bei ya mazao na mifugo jinsi ilivyo kwa mikoa ya nchi nzima sijaipata.
 
Zipo kibao hizo App pray store wewe search hivi tu ‘bei za mazao’ utaketewa App kidebe hata buku.
Ahsante mkuu,sina ujuzi Sana na Mambo ya ICT,Japo nimetafuta sana hiyo portfolio itakayonipatia taarifa za Bei ya mazao na mifugo jinsi ilivyo kwa mikoa ya nchi nzima sijaipata.

Sustainable Portfolio Worth 1.5 Millions/Month | 2020.
 
Wazo zuri sana kaka daah hadi moyo wangu umepiga kwa furaha ila ninayo hii system ila katika option nyingine
 
Vilaza bhana kawaida wanagopa ushindani na ubunifu wao huwa ni ziro siku zote.

Sasa wewe usiweze ata kuona kuwa hizo agencies licha kuwepo bado sinapiga pesa...? na je uwezi ata kujituma kuboresha idea hii na kwanini uwe tegemezi asilimia [emoji817].

penda kujifunza kwa wengine pia ni fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vizuri mkuu, cha msingi usikatishwe tamaa.

Cha msingi, Kila siku fikiria kuboresha hiyo system yako, Ifikishe kwa watu wa karibu na uwaulize wakupe feedback baada ya kuiona au kuitumia hyo sytem yako,.then fanya maboresho ulipokosea, boresha zaidi pale ulipopatia.
Wazo zuri sana kaka daah hadi moyo wangu umepiga kwa furaha ila ninayo hii system ila katika option nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya tuone halafu ulete mrejesho hapa. Mnapenda kuandika mambo kwa urahisi urahisi tu!
 
Yaani mimi huwa natamani sana.ila jinsi ya kufungua online app ndo huwa siwezi.
Natamani nijue sana
 
Kwa hapa Bongo ni kitu kipya ila kwa duniani siyo kitu kipya. Moja ya website ya namna hiyo ni Indeed
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…