Nakupenda customer care wa CRDB.

Nakupenda customer care wa CRDB.

pachawako

Senior Member
Joined
Mar 30, 2024
Posts
120
Reaction score
315
We mdada wa CRDB tawi la Mwanza customer care desk, kwanza nakuombea kwa mungu uzidi kukupa afya njema vingine nitafanya mimi, ninafanya juuchini nikupate, iwe ni kwa upendo, dua, viringe ama pesa nitazitoa ili tu uwe wangu.

Nimekutazama vizuri, una uzuri wa sauti, tabasamu, karangi kako dark bila kusahau shape yakunitoa roho. Sijali kuhusu tabia sijali nitazihandle.

Nitakapokupata nitakutunza mara elfu na ndoa kubwa jua tutafunga, kama una mume sponsor au bwana mwambie afunge mkanda kazi imeanza.
 
Ukiwa na mke anafanya kazi sehemu Kila siku ana interact na watu wengi kazi unayo!! Lazima uchapiwe tu hata iweje, Kuna watu wakimtaka mwanamke aisee wanakua kama vichaa, mwanamke atajiheshimu weeee ipo siku mtagombana tu hata kama ni baada ya miaka kumi hapo ndo mafisi wanamla mpaka mifupa!!! Tena Hawa wanaokunywa pombe unakuta watu wanapiga kotekote, mi mke anayekunywa pombe is a no go zone kabisa!!!!
 
We mdada wa CRDB tawi la Mwanza customer care desk, kwanza nakuombea kwa mungu uzidi kukupa afya njema vingine nitafanya mimi, ninafanya juuchini nikupate, iwe ni kwa upendo, dua, viringe ama pesa nitazitoa ili tu uwe wangu.

Nimekutazama vizuri, una uzuri wa sauti, tabasamu, karangi kako dark bila kusahau shape yakunitoa roho. Sijali kuhusu tabia sijali nitazihandle.

Nitakapokupata nitakutunza mara elfu na ndoa kubwa jua tutafunga, kama una mume sponsor au bwana mwambie afunge mkanda kazi imeanza.
Yap they all say tabia nita zi handle until they realize they cant keep up na hizo tabia.

Sikukatishi tamaa but be careful bro, you going too fast
 
Back
Top Bottom