Nakupenda lakini sikupi mwili wangu hadi unioe.


With due respect and apology, marinda ni kitu gani? Hujambo?
 
Dah! Nashukuru kwa ushauri wenu. Naanza kupata mwanga sasa.
 
Nawapendaga sana wa hivyo, kwa sababu nami huwa nawaambia hata mimi mpango wangu ni huohuo ........hakuna ku-do mpaka ndoa. Then baada ya statement hiyo mambo mengine yanakuwa ni automatic mpaka unafurahi mwenyewe kwa jinsi unavyovuliwa chupi bila jasho. Hapo suala la ndoa ninawekwa pending.

 
na
kama,ni,bikra
unamshauri
nini?

kama ni bikra ana takiwa ahakikishe hiyo bikra hipo au uzushi alaf swala la mapenzi lipo pale pale labda kama huyo jamaa hana hisia!

Kwani huyo dada ameweka ruku?
Ana hofia unit zitakwishwa?
Ana leta ujanja wa zamani.
 
Ivi kuna watu bado wana guts za kununua mbuzi ndani ya gunia???ayayayayaaaaa!!
 
Na bado wanaume mtashangaa sana, wadada wamechoka kufunuliwa funuliwa hovyo, na hata ukisema unamuacha humuoi hilo sio big deal sana nowdays wengi tu hawana mpango wa kuolewa
 

Ataonjesha wangapi?
 
Ukiona mwanaume amenyimwa k then akaanza kutapatapa kama wewe mtoa sredi basi ujue hana lengo zuri na wewe shida yake ni k only! Bora hata umenyimwa khaaaa!
 
safi sana! Huyo dada anafaa sana msimamo wake unapendeza sana. Wadada wengine emu igeni msimamo wa mwenzenu, kwa nini mkubali kufanywa viwanja vya majaribio? Mwanaume yoyote atakaye anza kutembea na mwanamke kabla ya ndoa hawezi kuwamwaminifu hata ikiingia kwenye ndoa. Kama msichana ukikubali kumvulia nguo kila mwanaume anakuja kwa gia ya kuoa utazeeshwa na wale hutaolewa! Jiheshimuni wadada nyinyi wathamani jithaminini tutawathamani. namaliza kwakusema AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA AFANYA JAMBO LA KUANGAMIZA NAFSI YAKE!!!
 
Yuko sahihi, akiachia achia mvuto na imani vitapungua...
 
nyie ndo wale wale.

Wale wale ndo kina nani?

Kwa taarifa yako K sio deal kihivyo na kwa maoni yangu iko overrated sana, tena sana tu. K siyo be-all and end -all. K siyo oxygen. K siyo chakula. Nikose nisikose bado nitakuwa hai. Kwanza nikiikosa nitashukuru zaidi maana huwezi jua...huenda umeepushwa na migonjwa kama yeast infection na mingineyo.

Apewe asipewe hakuna atakachodhurika nacho. Halafu ukweli wa mambo ni kwamba si wanaume tu wanaosikia nyege. Hata wanawake wanazo pia.

Kwa hiyo mwanamke ukijihudumia na vidole na mi dildo wanaume nao wanajihudumia na Vaseline. Even stevens.
 
Ukiona mwanaume amenyimwa k then akaanza kutapatapa kama wewe mtoa sredi basi ujue hana lengo zuri na wewe shida yake ni k only! Bora hata umenyimwa khaaaa!

sio vizuri, yeye kaomba ushauri.
Lakini ni muhimu kwa afya yake!
 
Mnafiki huyo, analiwa na wengine pembeni.
 
nimeupenda sana huo msimamo, endelea hivo hivo bidada hadi aondoke huyo mpenda zinaa.
 
Umenikumbusha mbali sana hata mm imenikuta mpaka leo nazinguliwa kama vp tuwapotezee je wangekuwa na bikra ingekuwaje !
 
Maty, I see a lot of contradictions in your post....hawataki kuolewa...hawataki kufunuliwa funuliwa...wameweka super glue??

Huyo aliingia kwa gia ya kumuoa ili aonje, ndio maana nimesema hata akiamua asimuoe kisa kanyimwa mdada anaweza asijali sana.

Kuna mbeba box mmoja marinda yameisha wamemkimbia anahaha kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…