Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jul 15, 2021 #1 Rahaziz mkalia nyongo
michibo JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 2,315 Reaction score 3,915 Jul 15, 2021 #2 Acheni kulialia, hela zenyewe za kutuma mnazo? Mwambie wakala atume moja kwa moja, utakatwa vipi!
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jul 15, 2021 Thread starter #3 Michibo said: Acheni kulialia, hela zenyewe za kutuma mnazo? Mwambie wakala atume moja kwa moja, utakatwa vipi! Click to expand... Hawatumi kwenda mkoa mwengine, wenyewe wanaita nje ya territory.
Michibo said: Acheni kulialia, hela zenyewe za kutuma mnazo? Mwambie wakala atume moja kwa moja, utakatwa vipi! Click to expand... Hawatumi kwenda mkoa mwengine, wenyewe wanaita nje ya territory.
michibo JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 2,315 Reaction score 3,915 Jul 15, 2021 #4 7 mchana said: Hawatumi kwenda mkoa mwengine, wenyewe wanaita nje ya territory. Click to expand... Wewe punguza kujieleza, mpe namba mwambie weka humu jina litakuja fulani…. usianze ooh namba iko mkoa!
7 mchana said: Hawatumi kwenda mkoa mwengine, wenyewe wanaita nje ya territory. Click to expand... Wewe punguza kujieleza, mpe namba mwambie weka humu jina litakuja fulani…. usianze ooh namba iko mkoa!