Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akijibu nitag mkuuWa zamani ni yupi?
Hahahahaa. Bby waogopq maadui kwani?
Sawa mkuu, ngoja nisubiri jibu?Akijibu nitag mkuu
Pamoja mkuuSawa mkuu, ngoja nisubiri jibu?
Unayapenda marinda yako ? Sasa we endelea tuNikisemaa Nakupenda sidhani kama nitakuwa nimekosea,moyo wangu wote unawaza kuhusu wewe,kila tone ya pumzi yangu inayotoka inatoka kwa mapigo ya kutamka jina lako zuri,
yna2 unajua mapenzi yalivyo mwili unaleta tamaa na tamaa inaleta upendo ndani ya moyo ,
Vile ulivyoumbika kuanzia mguu wa Dompo,hipsi za beraile,zigo la kuvunja chaga,kiuno makinikia mwenzako niko hoi niruhusu nijenge kibanda,
yna2 nina mengi sana ya kuongea lakini Sitaweza kuyamaliza nikisema niyatamke ,haya machache yanatosha japo utaona hayana maana kwako.
I love u yna2
View attachment 948837
Marhaba kiongoziShikmooo mkuu
Na kwako pia jombaa
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Na kwako pia jombaa
Hivi we mtu upo?Si mchezo
Nipo ..mzima?Hivi we mtu upo?
Dah poa kaka yangu, naona barua yangu ya "JOB TERMINATION" bado haijanifikia lakini.[emoji817] [emoji18]Ahahahaha mkuu usitamani mali ya mtu mwingine hii sasa ni mali ya Zero iQ
Na sisi wenye akili timamu tuna comment hapahapa?
Nipo hapa wa zamani nlietumbuliwa kazini na kuvuliwa hadi ya kuwa mpenzi[emoji18]Wa zamani ni yupi?
Ni mzima. Mungu ni mwemaNipo ..mzima?