Bebe usije niumizia baby Wangu..Sio mimi bebe... nitamkodia yule jamaa ake amber rutty
Hapana sijawahi ona aiseeh!Kwani hujawahi ona kuna asiyeona lakini shabiki wa Mpira wa miguu [emoji9][emoji14]
Nipo kwenye kikao nyeti, baina ya AKILI YANGU vs MOYO WANGU. Ntatoa tamko/msimamo muda ukiwadia.[emoji18]Chunga sana mkuu siyo mali yako tena hii
Bebe usije niumizia baby Wangu..
Usijali maudhui yao na yetu yanafanana tofauti ni kwamba mimi nimefeli [emoji34]Hapana sijawahi ona aiseeh!
Halafu tunaharibu uzi wa wenyewe[emoji16][emoji16]
hahahahahaaa, phala sanaNa sisi wenye akili timamu tuna comment hapahapa?
Eeeeh. Sitaki kuficha ficha halafu nikute wamembeba bby wangu Cc hazard cfc
Ukalipe mahari kwanza babeBabe hivi unatakiwa tukamilishe taratibu zipi na sisi tuwe na ka uzi ketu?
Ukalipe mahari kwanza babe
Hahahahaa Sura ya KAzi hiyo,Senki Yu Vere Macheee Ngoja niendelee dozi ya maji niwe mweupe kama RAY KIGOSI.Napendaga hiyo avatar yako mkuu
Yap yap mkuu nipoUpo mkuu?
Aiseee....!Baby hata kabla haujaandika huu Uzi Mimi nilishakua wako tayari
ππππππBaby hutaki saidiwa Mara moja moja unapokua umeenda mbeya kuchukua viazi?
Hahahaha, asee hii KaliBaby hutaki saidiwa Mara moja moja unapokua umeenda mbeya kuchukua viazi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hivi huyu jamaa yuko wapi zero?ila umenichekesha kiukweli.Kwa kisandu mkuu