Nilikuwa sijaona nyuzi ya namna hii muda sn humu nikadhani hamna tena haya mambo
Nilikuwa sijaona nyuzi ya namna hii muda sn humu nikadhani hamna tena haya mambo
Ndio kwanza saa nne asubuhi alafu kijana wa magufuli anakua na mawazo mfu kama haya. Kwa mtindo huu Magufuli atajenga viwanda vyake mwenyewe.Nikisemaa Nakupenda sidhani kama nitakuwa nimekosea,moyo wangu wote unawaza kuhusu wewe,kila tone ya pumzi yangu inayotoka inatoka kwa mapigo ya kutamka jina lako zuri,
yna2 unajua mapenzi yalivyo mwili unaleta tamaa na tamaa inaleta upendo ndani ya moyo ,
Vile ulivyoumbika kuanzia mguu wa Dompo,hipsi za beraile,zigo la kuvunja chaga,kiuno makinikia mwenzako niko hoi niruhusu nijenge kibanda,
yna2 nina mengi sana ya kuongea lakini Sitaweza kuyamaliza nikisema niyatamke ,haya machache yanatosha japo utaona hayana maana kwako.
I love u yna2
View attachment 948837
Chadema vp tuna comment humu
Wanacoment pale kisutu
😀😀😀😀😀😀😀 JF raha sana kusema kweliSisi tunao ngoa mademu wa Masaki tu comment wapi?
Bado yapo mkuu
Aiseeee yna2 njoo huku shemeji
Sana aisee...jamaa anataka kwenda kusalimia mazingira ya ynaWakubwa wanafaidi sana
AhaahahaKwahiyo kwa kifupi unataka kumlala mwenzio?
Sana aisee...jamaa anataka kwenda kusalimia mazingira ya yna
Sema unadhani atafanikiwa