SUASO
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 770
- 1,192
Haaaaaa mkuu utapoteza watejaa mapenzi kazini mwikooo......
Baby panda uber nitalipa nataka uje unibebishe kidogo hapa kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby panda uber nitalipa nataka uje unibebishe kidogo hapa kazini
Bebe si unajua vile wanakupenda wengii...unataka tuweke wazi maadui waongezeke?Hahahahaaa.. tuinogeshe yetu basii
I love you too bebe zero iQ
[emoji3][emoji3]Hakuna mkate mgumu mbele ya chai mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio nimeshaulamba hivyo nyie bakini na maupendo yenu moyoni moyoni
Naona mpaka sasa sijamuona kuja kutia neno lake hapa nafikiri bado ananifikiria kwa Undani zaidi
Mmhhh baby alarm imegonga kwa kichwa...ujueile ilikuwa chai tu baby huyu kakaza mi nakupenda wewe tu sinaga mtu mimi ni bizy na kuchoma chipsi tu
[emoji3][emoji3]Haaaaaaaaa mkuu andaa banda jingine LA chips kwa ajili ya huyu mrembo
Kazi na dawa jamaniHaaaaaa mkuu utapoteza watejaa mapenzi kazini mwikooo......
Bila shaka mke wa mimi
[emoji3][emoji3][emoji3]Eeeeh
Hashitagi. Hatuaminitunachokiona hehe