Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
[emoji3][emoji3] baby naona wako kimya sasaWatu wanavisa sana baby walitaka wasikie kwamba unanitolea maneno ya kashfa na kejeri sasa umewasuprise kwa kunipa moyo wako mtukuka niutunze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3] baby naona wako kimya sasaWatu wanavisa sana baby walitaka wasikie kwamba unanitolea maneno ya kashfa na kejeri sasa umewasuprise kwa kunipa moyo wako mtukuka niutunze
[emoji3][emoji3]
Haina haja kwani unahisi namfilisi baby??
Baby hata kabla haujaandika huu Uzi Mimi nilishakua wako tayariNingeshangaa sana kama usingenielewa baby u know now niko happy kusikia upo tayari kuwa na mimi
Haha haiwezi kosekana baby mwenyewe ananijua siombagi pesa ndogondogoHaaaaa naam, itafika kipindi hadi hela ya saloon itakosekanaa
[emoji3][emoji3][emoji3]Hawaamini kilichotokea baby umewasuprise
Tulingishie tu na sisi tutapata Wa kwetu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio muamimi sasa Zero IQ nimepata baby nitawanyanyasaje
Haha haiwezi kosekana baby mwenyewe ananijua siombagi pesa ndogondogo
Mtafutaji hachoki mkuu utapata mrejesho soon[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtapata lini sasa mkuu?
Hahahhahahaaaaa 😛😀😀😀😀😀😀😀😱Chit chat imepoa sana siki hizi hakuna kapo mpya zinazozaliwa
Yote hii kasababisha yule rais wa Russia
Unasema kweli mpenzi kumbe ni mimi tu nilikuwa najichelewesha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tulingishie tu na sisi tutapata Wa kwetu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anaombaga pesa ya matumizi achana na hizo za kufirisiana kila siku unalia shida