torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,978
- 9,841
Ndugu zangu kuna hili neno moja hivi
ni dogo lakin linamaana sana kama ukilitamka kwa hisia
wengine wanakufa kwasababu ya hili neno na wengine wanalia[emoji22] [emoji22] [emoji22] sababu tu ya ilo neno
na menzangu na mimi wanshindwa kabisa kulitamka ili neno, mafundi wanawaita madomo ze ge[emoji13] [emoji13] [emoji13]
neno lenyewe linaandikwa " NAKUPENDA" kwa kiinglishi wanasema I LOVE YOU na lugha nyingine wansema JE TAIME
ebu tufanye kama tunakaandika haka kaneno kwa lugha unayoijua wewe kufikisha ujumbe wako kwa muhusika hata kama yupo humuhumu.
nakupenda *Nathan*