Nakupongeza Hussein Bashe kwa uamuzi wako kuhusu kuuza vyakula nje

Nakupongeza Hussein Bashe kwa uamuzi wako kuhusu kuuza vyakula nje

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Nimekusikia ukisema kuwa hutafunga mipaka kuzuia chakula kuuzwa nje. Nakupongeza sana kwa hili. Kwa miaka mingi hilo suala limekuwa likimnyonya sana mkulima. Limedhoofisha na kilimo chetu.

Uamuzi wako unaweza pandisha bei ya chakula. Unaweza leta lawama, lakini ni uamuzi sahihi. Kilichobaki ni hili suala liwe kisheria. Labda wakati wa vita tu ndiyo uamuzi wa kufunga mipaka uweze kuchukuliwa.
 
Back
Top Bottom