Kajitaid sana mutuz
hajaweka picha ya nje tuone...tumpongeze au tumshushue ..anaweza akawa ahat amepanga huyo mr misifa.
Alafu bro HV siku zote hizo ulikuwa bado hauna hata ka kibanda !!!!?
its too late to brag.... mwenzio tuna 30s tayari tuna vibanda na mausafiri wewe Leo unakuja kututangazia vibanda vya urisi hapa.
LeMutuzyu knowmabebz yu knowmaapartment yuknowNow iHaveaNaPartMent yuKnowww nyingiii. LemUtuzkaFaNikIwa kUtOkaNanqKiki yaBackGrouNd yaFamIlia. WeNgineMliopoMBelE jIdaNgaNyeni kUrudi boNgo Halafu muone.
#LiFe a'int easy here in bOngO yu knowWwW.
@ My new home 3 bedrooms apartment at downtown bongo Jamhuri Street, nilipoanza kuikarabati miezi sita iliyopita na leo baada ya kuhamia I just want to thank my God kwamba 3 years za ku hustle bongo baada ya Miaka 30 majuu now I have my own home!!- IT IS NOT A BRAGGING RIGHT BUT UJUMBE KWA WENGINE KWAMBA KURUDI BONGO KUTOKA MAJUU SIO A DEATH SENTENCE KAMA WENGI WANAVYOAMINI NA HATA MIMI AT ONE TIME NILIKUWA NAAMINI HIVYO MUNGU NI MKUBWA UKIMUAMINI KWA KILA JAMBO!! - Le Mutuz
hii inaitwa kataa tamaa au subiri ushindi uzeeni....huu ndo ujumbe vijana watajifunza kwa le mutuz!30 years mamtoni,miaka mitatu ya hustling bongo na ukarabati wa nyumba ya msajili umechukua miezi sita!duh!...ingekuwa ukubwa wa umbo ndo kumiliki mijengo mingi le mutuz angekuwa ana magorofa 30
Mjengo wake au wa msajili katafutiwa na baba yake.
hii inaitwa kataa tamaa au subiri ushindi uzeeni....huu ndo ujumbe vijana watajifunza kwa le mutuz!30 years mamtoni,miaka mitatu ya hustling bongo na ukarabati wa nyumba ya msajili umechukua miezi sita!duh!...ingekuwa ukubwa wa umbo ndo kumiliki mijengo mingi le mutuz angekuwa ana magorofa 30
- Ningekuelewa kama ungekuwa nayo hayo magorofa masikini wa Mungu, naamini hata baiskeli huna pole sana!!
Le Mutuz
- Ningekuelewa kama ungekuwa nayo hayo magorofa masikini wa Mungu, naamini hata baiskeli huna pole sana!!
Le Mutuz
Congrats le baharia, kumiliki nyumba ni big deal hata ikiwa ya chumba kimoja( I know the struggle) for the first time in my life(may be the last) NAKUPONGEZA
sasa hizo pesa unazojengea nyumba ukiwa na umri huo ni mafao yako ya kustaafu au?