[h=2]Nakupongeza kwa hili Le Mutuz u know, Sio kila siku kutupia picha na le Bebez 2[/h]
- Now kumbe hujaelewa somo picha ninapiga na fans wake kwa waume na siku zote mimi big Celebrity wananchi wananiomba picha kila ninapokwenda sio kama wewe cause sio Big Star sasa unalia lia na picha, mimi nina muda wa kila kitu na wakati wake nina muda wa kupiga picha na fans na nina muda wa kutafutaa pesa, sijawahi kuchanganya hayo mambo ni watu kama wewe ndio mnajichanganya na my life style mimi mwenyewe nipo calm na under control.
- Anyways thanks, lakini may be utajifunza something kuhusu me and mylife style kwamba unavyonifikiria wala sio kabisa mimi nipo kwenye my program na right on track, soon nitakuwa kwenye Radio na TV that is my next project, kama ni nyumba ninayo Kinyerezi tena na shamba la eka 5 lakini sikutaka kukaa kule ni mbali na biashara zangu hapa mjini so relax man hunijui ila niamini pole pole utanielewa tu!!
Le Mutuz