- Sijakuelewa kuna aliyejenga nyumba hapa Post Mpya?
Le Mutuz
- Nilikwambia Degree 3 sio mchezo inamchukua asiye na Degree muda mrefu sana kukuelewa U know finally umekubali kwamba akili kubwa na akili ndogo ni ipi hapa? hahahahaha
Le Mutuz
Hell NO! Kujenga nyumba needs NO degreez grany and kuelewa nn?? I just said congrats kwa kujenga nyumba thats all, so hayo ya akili kubwa yametoka wapi?? Naomba hata mara moja tu JUST FOR ONCE, PLZ PLZ PLZ USITOKE NJE WA MADA PLZ WILL U??
- HAHAHA sihitaji your credit ndio maana yake please keep it to yourself huenda itakusaidia, ila sijajenga Nyumba mtaa wa Jamhuri downtown U know hahahahahaha sihitaji credit yako ok!!
- Nilichokuambia ndio tofauti ya kuwa na Degree 3 na kutokuwa nazo, inamchukua asiyekuwa nazo muda mrefu sana kumuelewa aliyenazo sasa tatizo lipo wapi hapo? hahahahahaha

- Kwani Bilicanas ni ya nani mkuu? hahahahahahaha
Le Mutuz
Mi Nina degree moja sijui kitu maana ya msajili ni nini na kodi inakuaje? Naomba ufafanuzi tafadhali
i knew it utakuwa mkono wa baba hapa umetumika,sema tu bonge baba kapiga simu upewe nyumba,unachofanya ni kukarabati tu...
- HAHAHAHAH ndio tofauti ya kuwa na Degree 3 na kutokuwa nazo, ungekuwa nazo unegeelewa kwamba simu ingepigwa na baba ingechukua wiki moja tu kupata nyumba sio Miaka 3 hahahahaa U know!!
Le Mutuz
Pumbavu wahed miaka mitatu degree 3 nyumba yenyewe ya kupanga??? Badala ya huo mwili uliyejaa mavi tu ungepata akili mzee malecela angeshukuru sana
Le mutuz live ur life hacha kutafuta kiki kwa media unaonekana mtu husie na hekima haya matangazo ya maisha yako hayatysaidii kaka.Mara TV and redio then wat kaka.Wakati kuna ndugu zako kibao njaa Kali hata kuwasaidia hufanyi hivyo kazi kiki tu.Badilika kaka wewe Mkubwa sana now.
You know sometimes maturity inakuja uzeeni....umeona mbali. Congrats!
- Ok ina maana wewe ni mtoto mchanga na una maturity au? hahahahahahah
Le Mutuz
U know sometimes you're genius...Hahahah
Nakupongeza kwa hili Le Mutuz u know, Sio kila siku kutupia picha na le Bebez 2
- Now kumbe hujaelewa somo picha ninapiga na fans wake kwa waume na siku zote mimi big Celebrity wananchi wananiomba picha kila ninapokwenda sio kama wewe cause sio Big Star sasa unalia lia na picha, mimi nina muda wa kila kitu na wakati wake nina muda wa kupiga picha na fans na nina muda wa kutafutaa pesa, sijawahi kuchanganya hayo mambo ni watu kama wewe ndio mnajichanganya na my life style mimi mwenyewe nipo calm na under control.
- Anyways thanks, lakini may be utajifunza something kuhusu me and mylife style kwamba unavyonifikiria wala sio kabisa mimi nipo kwenye my program na right on track, soon nitakuwa kwenye Radio na TV that is my next project, kama ni nyumba ninayo Kinyerezi tena na shamba la eka 5 lakini sikutaka kukaa kule ni mbali na biashara zangu hapa mjini so relax man hunijui ila niamini pole pole utanielewa tu!!
Le Mutuz
[h=2]Nakupongeza kwa hili Le Mutuz u know, Sio kila siku kutupia picha na le Bebez 2[/h]
- Now kumbe hujaelewa somo picha ninapiga na fans wake kwa waume na siku zote mimi big Celebrity wananchi wananiomba picha kila ninapokwenda sio kama wewe cause sio Big Star sasa unalia lia na picha, mimi nina muda wa kila kitu na wakati wake nina muda wa kupiga picha na fans na nina muda wa kutafutaa pesa, sijawahi kuchanganya hayo mambo ni watu kama wewe ndio mnajichanganya na my life style mimi mwenyewe nipo calm na under control.
- Anyways thanks, lakini may be utajifunza something kuhusu me and mylife style kwamba unavyonifikiria wala sio kabisa mimi nipo kwenye my program na right on track, soon nitakuwa kwenye Radio na TV that is my next project, kama ni nyumba ninayo Kinyerezi tena na shamba la eka 5 lakini sikutaka kukaa kule ni mbali na biashara zangu hapa mjini so relax man hunijui ila niamini pole pole utanielewa tu!!
Le Mutuz
mwalimu wangu aliwahi kuniambia ukimuona mtu anasema yeye ni mzungu... ujue kwa hakika sio mzungu.
ukimuona mzungu utamjua tu na wala yeye hawezi kukuambia yeye ni mzungu..