Nakupongeza rais wetu JK

Nakupongeza rais wetu JK

Spear

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2008
Posts
507
Reaction score
29
Hongera Rais wetu kwa kazi nzuri uifanyayo naimani na wengine wataiga mfano wa uongozi wako kuwapenda wasaidizi wako.Hand to hand

8D6U9851.JPG
 
Ni muhimu kumuongezea JK kipindi kingine cha miaka 5.
Nafikiri wanaJF MNANIUNGA MKONO. jk HANA 100% LAKINI KAONYESHA MIPANGO YA MUDA MREFU ya nchi yetu.
 
Sasa hapa msaidizi wake ni huyu Mbunge wa Tarime ama ?
 
Tukupe takwimu? Maana hapa JF hawpendi takwimu, wanapendelea lugha kama hizo, kafanya vizuri n.k.
Zawadi,
Siyo lazima ziwe takwimu. Labda unaweza tu kuziorodhesha hizo kazi nzuri zinazostahili pongezi.
 
Tukupe takwimu? Maana hapa JF hawpendi takwimu, wanapendelea lugha kama hizo, kafanya vizuri n.k.
\

Mwaga takwimu za nini kafanya na long term plans za kuijenga Tanzania weka hapa tuzipitie .
 
takwimu atazitoa wapi huyo zawadi ngoda... labda ataishia kutaja nchi ambazo jk ametembelea mwaka huu.
 
takwimu atazitoa wapi huyo zawadi ngoda... labda ataishia kutaja nchi ambazo jk ametembelea mwaka huu.


Naamini anazo , ndiyo maana mie nazidi umwamini kwamba anazo na nimeomba azimwage badala ya kusema wana JF hawapendi takwimu. Lete ngoma hapa mie nangoja
 
Haya mambo ya kushikana mikono wanaume yana hatari zake ,any way kwa baadhi ya watu tukiangalia hii picha ya waheshimiwa inatukumbusha mengi mengine hayasemeki Raisi awe muangalizi siku hizi wabaya wake wanatafuta vijisababu tu vya kum zalilisha.
 
Back
Top Bottom