Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Kwanza nakupongeza kuandaa concert ya maana kwa ajili ya MwanaChadema Prof Jay.
Nilikuwa nije Dar ili niweze kuhudhuria . Kuna dharula ilitokea na nikafika dar nimechelewa sana. Hivyo sikuweza kuhudhuria.
Lakini nakupongeza sana kumzuia huyu kada wa CCM ambaye huwa ni mpenda sifa zisizo na mashiko.
Ulimzuia kwa sababu za msingi. Nakupongeza sana. Leo nimepanda ndege naelekea Mwanza baadae nitapanda basi mpaka Igunga. Asante sana