Nakuru All Star waipa kichapo Simba FC ya Tanzania

Nakuru All Star waipa kichapo Simba FC ya Tanzania

That's football.It was really "a shocking win".
Congratulations NAS...congratulations SSC for your efforts.
 
Vijana wa Nakuru All Stars (ambao hawana sifa sana Kenya) wameigaragaza Simba FC timu yenye mashabiki sana Tanzania yote, ushindi huo wa 5-4 umepatikana kwenye mikwaju ya penalti, hiyo baada ya kutoka sare tasa kwa muda rasmi wa mchezo dakika 90
Sammuel999 Hapo Nakuru mnawalisha nini hawa vijana na ni akina nani.
--------------------------------------------------------------
Kenya’s National Super League (NSL) side Nakuru All Stars pulled off a shock win over Simba SC, displaying some steely nerves to edge out the Tanzanian giants 5-4 on post-match penalties on Tuesday at Dar es Salam’s Uhuru Stadium.

The Super Cup clash had ended in a barren stalemate in regulation time, forcing the tie to be decided in the shootouts and it is the All Stars that kept their composure as they became the third Kenyan representative at the inaugural competition’s last four.
Of the ten spot-kicks taken on the evening, only that of Simba’s custodian Daniel Agyei missed the target to deny the Wekundu wa Msimbazi in the cruelest of fashions.

Agyei skied his effort on Simba’s second attempt with their rivals All Stars converting all of their own.

The Nakuru-based All Stars, who sit sixth in the NSL, will now face Kenya’s 15-time Kenyan Premier League (KPL) champions Gor Mahia FC who sailed through earlier in the day by sinking Zanzibar’s Jang’ombe Boys 2-0.

Another semi final will see Kenya’s AFC Leopards lock horns with Tanzania’s Yanga SC, who qualified on Monday.

Both semi finals will be played on Thursday.
Wenzako washaenda fifa kupinga,,eti gori lilikua dogo gafla baada ya agyei kupiga minazi.....
 
Wenzako washaenda fifa kupinga,,eti gori lilikua dogo gafla baada ya agyei kupiga minazi.....
Crap.
Yanga shughulikieni mishahara ya wachezaji wenu ili wageni wasiogope kusaini. Inashangaza hadi mchezaji wa Toto anaogopa kwenda Yanga, anaenda kusaini Singida United, kisa ameshachungulia njaa Jangwani
 
Pia wakenya wako kambini wakijitayarisha dhidi ya sierra Leon.
Nakuru All Stars haina hata mchezaji mmoja wa timu ya Taifa huko Kenya. Wao wamekuja na kikosi chote wanachokitegemea
 
Simba timu yangu ila pumbavu kabisa tena wamenichania mkeka wangu.
 
Hapa mbona yanga wamekuja ghafla[emoji3][emoji3]
 
Crap.
Yanga shughulikieni mishahara ya wachezaji wenu ili wageni wasiogope kusaini. Inashangaza hadi mchezaji wa Toto anaogopa kwenda Yanga, anaenda kusaini Singida United, kisa ameshachungulia njaa Jangwani
Siyo kwamba ameogopa kusaini yanga kisa mshahara,,,hapana ni kwamba atacheza namba ngapi.....,,kaona mbali pale ni sub tu
 
aiseee hongera timu yetu maze...tumemla mnyama bila vilainishi[emoji3] [emoji3] [emoji109]
 
Nakuru All Stars haina hata mchezaji mmoja wa timu ya Taifa huko Kenya. Wao wamekuja na kikosi chote wanachokitegemea

Ni vijana wako ligi daraja ya pili Kenya tena wako nafasi ya sita kwa ligi!!! Wajiliwaza bure!!
 
aiseee hongera timu yetu maze...tumemla mnyama bila vilainishi[emoji3] [emoji3] [emoji109]
Napata shida kuamini kuwa wewe ni mkenya .... yaani haupo kama mkenya kabisaa ni kama wale jamaa wauza mitumba wa kariakoo kwa misemo yao....

upo kama mtanzania kabisa na tena hata watu wa mombasa hawana hiyo lahaja ya kiswahili unachokitumia
 
Ni vijana wako ligi daraja ya pili Kenya tena wako nafasi ya sita kwa ligi!!! Wajiliwaza bure!!
Unless you don't know football,
Ni kawaida sana timu kubwa kufungwa hata na timu za Daraja la pili,
Halafu umeambiwa Simba waliwawekea wachezaji wa Majaribio.
 
Napata shida kuamini kuwa wewe ni mkenya .... yaani haupo kama mkenya kabisaa ni kama wale jamaa wauza mitumba wa kariakoo kwa misemo yao....

upo kama mtanzania kabisa na tena hata watu wa mombasa hawana hiyo lahaja ya kiswahili unachokitumia
hahaa shikamoo mzee, mm sio mtz ila nna ndugu huko so mm hutravel to tz mara kwa mara tu, na nme master madongo na mipasho toka huko kwenu....nitangulize tena pole zangu kwangu kwa wote wa msimbazi, ni hujuma jamann[emoji3] [emoji3] thitimaa
 
Hehehehe MK254 noma sana ......Nakuru all stars hata Tanzania National team inapiga [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kenya Ranks higher than Tanzania kwa Fifa Ranking hata mseme ni kikosi B bado tuko mbele
 
Hehehehe MK254 noma sana ......Nakuru all stars hata Tanzania National team inapiga [emoji38][emoji38][emoji38]

Simba wamekua useless, wanapigwa ovyo, sasa wameanza kujitetea eti kikosi cha sijui C. Juzi walipigwa na Kagera sugar ovyo kabisa. Nilitazama hizo penalties nikiwa na Wabongo amshabiki wa Simba, nusra niwamalize kwa makelele.

Japo kwa Yanga vs AFC nitateseka sana maana mimi mshabiki wa Yanga, lakini hapo pa uzalendo sijui nifanye nini.
 
hahaa shikamoo mzee, mm sio mtz ila nna ndugu huko so mm hutravel to tz mara kwa mara tu, na nme master madongo na mipasho toka huko kwenu....nitangulize tena pole zangu kwangu kwa wote wa msimbazi, ni hujuma jamann[emoji3] [emoji3] thitimaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Haya bhana ila sio mbaya ... Ila wewe umeshakuwa mbongo maana Hiyo damu inatiririka katika veins zako na inaonekana ukifika Tz huwa unajichanganya na watu sana...

Aki na Mimi ntakuja KE kubuy accent ya sheng
 
Back
Top Bottom