Nakuru All Star waipa kichapo Simba FC ya Tanzania

Nakuru All Star waipa kichapo Simba FC ya Tanzania

Kadoda11 alinitishia upande ule wa Battle ya Nai vs Dar, sahi sijui atasema nini!! Mimi mwenyewe nilikuwa nikijua Simba itashinda!! Miaka mingi nimejua Simba na Yanga, sikutarajia Nakuru iwatoe kwenye ligi
sina la kusema kaka...hongera kwa Nakuru all stars.
 
Unless you don't know football,
Ni kawaida sana timu kubwa kufungwa hata na timu za Daraja la pili,
Halafu umeambiwa Simba waliwawekea wachezaji wa Majaribio.
povu ya nini!!!NAS waliishinda simba sports club!! mengine bla blah za bure tu!
 
Back
Top Bottom