Wabongo huwa wanatia huruma, kila kitu uswahili mwingi???? Angalia nchi yao na maisha yao kila siku, mara eti vita vya Kagera vilituchelewesha, mara ujamaa ulitulemaza, mara Mjerumani alituachia nchi bila maendeleo, mara hisa za Voda hatununui kwa sababu mzungu atahama, mara mlicheza na Simba timu B, mara hiki mara kile miaka yote maneno maneno bila matendo halafu mnasema hapa kazi tu.
Chezea Wakenya tutawanyoosha kwa kila kitu, kwanza mbio za Kilimanjaro huwa tamu, Wakenya huja a kunyakua kila kitu.