Nakuru, Kenya: Afande achapwa kibao na kuruta

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Katika hali ya kushangaza kuruta huyu aliyekuwa kwenye mafunzo ghafla alianza vioja vya ajabu mpaka kufikia kumchapa kibao mkufunzi wake ambaye ni askari polisi

Ingekuwa kachapwa kibao wa......
Ningefuraiii
 
Bangiiii... Tukio la zamani hili.
 
Hehehe huwa inabidi kuwapa majibu yanayowapasa, kuna sababu kwanini taarifa huwekwa tarehe.
Hujui unachoandika "tukio hakipotezi uhalisia hata kama wakirudia hyo video 2050 bado atapigwa kibao sasa wewe umesema ni ya zamani kana kwamba haina thamani tena" pambana na Chiloba na IEBC yenu kesho anza safari ya kusogea mpakani.
 
Hehehe huwa inabidi kuwapa majibu yanayowapasa, kuna sababu kwanini taarifa huwekwa tarehe.
Ukiendelea hivi utaanza kutuambia shuleni tulienda kusomea ujinga. Waache wafute vumbi kwenye kumbukumbu, angalau tupunguze stress za siasa my Lord. Nimekuita hivo kwasababu sitaki kuchapwa la usoni my Lord. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hujui unachoandika "tukio hakipotezi uhalisia hata kama wakirudia hyo video 2050 bado atapigwa kibao sasa wewe umesema ni ya zamani kana kwamba haina thamani tena" pambana na Chiloba na IEBC yenu kesho anza safari ya kusogea mpakani.
jamaa kasema tu hio habari ni ya zamani...mbona umepanic?? ama kiswahili pia kigumu hamwelewi...kwani amedanganya? ubaya wabongo wapingamizi mtu anataka apinge hata mambo madogo tu...
 
Wanadau swali langu kuu, neno lenyewe ni kuruta au kurutu maanake kuruta huwa nalisikia tu na wabongo upande wa pili wa boda. Wakenya wanasema kurutu, hata kule pwani. Ni katika hali ya kuelewa lugha kwa undani tu, shukran. MK254?
 
jamaa kasema tu hio habari ni ya zamani...mbona umepanic?? ama kiswahili pia kigumu hamwelewi...kwani amedanganya? ubaya wabongo wapingamizi mtu anataka apinge hata mambo madogo tu...
Hawa lugha huwapa shida sana, Kiswahili cha uandishi hawakiwezi, wamezoea lugha za mitaani etu buku jero.
Mleta uzi ametumia 'present participle' kwenye kichwa cha uzi, nilichofanya ni kuwakumbushia kwamba habari yenyewe ni ya zamani lakini uhalisia unabaki ule ule kwamba mkufunzi alizabwa makofi na kurutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…