NAKURU, KENYA: Jaji Mkuu David Maraga na Mkewe wapata ajali ya gari

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411

Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga na Mkewe, Yucabeth Nyaboke wamekimbizwa hospitali baada ya kupata ajali ya gari wakiwa Ngata, Nakuru

Wamepatwa na mkasa huo wakati wakirejea nyumbani kutoka Kanisani, wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya War Memorial

Mipango ya kumhamishia katika moja ya Hospitali za Jiji la Nairobi inaendelea


======

The Chief Justice of Kenya, David Maraga and his wife Yucabeth Nyaboke were rushed to the hospital after being involved in a road accident in Ngata area, Nakuru.

The two were on their way to church when the incident occurred. They were rushed to War Memorial Hospital where they have been admitted.

Their vehicle’s bumper was badly damaged causing the airbags deploy.

The CJ was with his wife, driver and a security detail. He is reported to have suffered minor injuries. They are reported to be in a stable condition.

Plans to airlift the Chief Justice to Nairobi are currently underway.

Source: Kahawa Tungu
 
Hivi huyo jaji si ndio kama jecha kule zanzibar??
Namaanisha si ni yule aliefanya uchaguzi ukarudiwa?
 
wakikuyu sio watu wema. watakuwa wanaendelea kumuandama licha ya kwamba uchaguzi ulishaisha.
Hapa umekurupuka mkuu!. Hapa hisia za uchaguzi zilishaa zikwa kwa kaburi la sahau. Kama kiongozi wa upinzani ndiye saa hii mwandani kamili wa predzda mwenyewe, Sembuse kitu kidogo Kama jaji mkuu?...
 
Hii ndio Uhuru aliita "Revisit"!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…